serikali ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    MAPENDEKEZO: Umuhimu wa Kupunguza Ukubwa wa Serikali ya Tanzania ili Kupunguza Matumizi ya Umma na utitiri wa taasisi

    Serikali ni chombo muhimu katika kusimamia maendeleo ya taifa, kulinda usalama wa raia, na kuhakikisha utoaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, kadri serikali inavyokuwa kubwa kupita kiasi, ndivyo inavyoongeza gharama za uendeshaji, hali inayoweza kuathiri uchumi wa nchi. Kwa muktadha wa...
  2. figganigga

    Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

    Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjini ili tusaidie kuwatafuta. Hakuna huduma za Kijamii, zote zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haisomani. Baadhi ya...
  3. Mindyou

    PostGE2025 Balozi wa Umoja wa Ulaya akiri EU imeanza kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania baada ya Uchaguzi wa 2025

    Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia. Katika mahojiano ya kina na ya nadra, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau, alithibitisha kuwa umoja huo tayari...
  4. R

    Msigwa: Tanzania inamiliki 15% mradi wa Crude Oil pipeline kutoka Uganda na tayari tumetoa bilioni 995 kumiliki hisa

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%)...
  5. The Burning Spear

    Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  6. upupu255

    POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  7. Damaso

    Serikali ya Tanzania imekuwa kama familia ya Mfalme Christian IX wa Denmark na Malkia Louise wa Hesse-Kassel

    Katika karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20, Ulaya ulikuwa ukielezwa mara kwa mara na wanahistoria kama “familia moja kubwa ya kifalme.” Kwa kweli, majumba ya kifalme ya Uingereza, Urusi, Ujerumani, Norway na Ugiriki yaliunganishwa si kwa siasa tu bali kwa damu ya familia. Ukitazama hiyo picha...
  8. MakinikiA

    Mtanzania jiulize kwanini Sweden yenye watu wachache kuliko Tanzania lakini Serikali ya Tanzania inaomba misaada ya walipa kodi wa Sweden

    Sweden 10,656,633 Idadi ya watu Sweden GDP 619.27 USD Billion Tanzania70,545,865 Idadi ya watu Tanzania GDP 83.51 USD Billion
  9. Inside10

    PostGE2025 CHADEMA yatangaza kutoitambua Serikali ya Tanzania

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki, sheria na misingi ya demokrasia. Katika taarifa yao kwa umma iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  10. U

    UN yaitaka Serikali ya Tanzania kuwalinda waandamanaji katika maandamano yaliyopangwa tarehe 9/12 na kuendelea

    #BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9 The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on 9 December. Spokesperson Seif Magango of the UN High Commissioner for Human Rights reminded...
  11. Kitimoto

    Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  12. Fbn

    Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  13. Richard

    Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  14. H

    PostGE2025 Adui wa serikali ya Tanzania siyo Gen Z tu yapo makundi mengi

    1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu 5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za...
  15. Keyboard_Warrior

    Serikali ya Tanzania kuendelea kutumia mtandao wa X (twitter), hii imekaaje!?

    Mtandao wa X (Twitter) umefungiwa na serikali ya Tanzania, hauwezi kutumia X(twitter) ukiwa Tanzania bila kutumia VPN. Ajabu, Rais wetu, msemaji mkuu wa Serikali yetu na Ikulu yetu ya Tanzania, hawa wote wana akaunti ambazo zipo active huko, na kupost wanapost, hii kitaalamu imekaaje? Wanapost...
  16. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  17. H

    Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  18. Mikopo Consultant

    Je, MO29 ni matokeo ya Serikali ya Tanzania kuwa ndani ya kifungo cha Iblis (Shetani)? Na Masheikh wapotoshaji wanamuabudu Mungu yupi?

    Pamoja na kuwa Mkatoliki kindakindaki - hata kwa greda sichomoki; sijajifunga tu kwenye Biblia; hata Koran huwa naipitia! Sasa kwenye Surat Al Baqara kuanzia kwenye aya ya 30 soma mpaka 40, kuna jambo limenifurahisha sana: kumbe bana Mungu alivyomuumba Adamu, alimfundisha majina ya vitu vyote...
  19. Think2

    PostGE2025 Waraka wa Martin Maranja kwa serikali ya Tanzania

    Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka Hii dhana kwamba walioandamana walikuwa wageni inatoka wapi? Wageni gani ambao wamekamatwa na...
  20. Genius Man

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya. 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa halali hivyo Haitokani na matakwa ya wananchi haina uhalali wa kuwakilisha nchi kimataifa na kwenye...
Back
Top Bottom