serengeti

  1. JamiiForums Tanzania TANAPA yapokea mitambo na malori kuboresha miundombinu ya hifadhi za taifa Serengeti na Nyerere zenye thamani ya bil.6.4

    Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za Kitanzania, tukio hilo limefanyika leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu...
  2. JamiiForums Tanzania Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Serengeti wafunguka walivyofanyiwa, rufaa zagonga mwamba

    Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania...
  4. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Inadaiwa wagombea wengi wa CHADEMA Jimbo la Serengeti wameenguliwa

    Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameizawadia Serengeti Girls Milioni TSh 30 kwa Kutwaa Ubingwa wa Unaf

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita. Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
  8. JamiiForums Tanzania Ngorongoro yapongezwa kwa kuboresha barabara za Hifadhi ya Serengeti

    TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii. Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  10. JamiiForums Tanzania UMUHIMU WA WAMASAI NGORONGORO NA SERENGETI

    Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao...
  11. JamiiForums Tanzania Mwananchi awaambia TESEMA warekebishe haraka mfumo wa ukataji tiketi Busisi upande wa Serengeti

    Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi. Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serengeti warudishe bia yetu pendwa

    Hii mada inawahusu wanywaji tu. Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika. Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
  13. JamiiForums Tanzania Serengeti Shall never die?

    Heshima sana wanajamvi, "Serengeti shall never die" Huo ni usemi wa enzi na enzi ukitumiwa hasa na watafiti wa hifadhi za mazingira na wanyama waliotumia muda mwingikufanya tafiti mbali mbali za wanyama na mazingira yao. Leo wakati namaliza ziara au ukipenda utalii niliotumia siku kadhaa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania TANAPA wanajua moto unaowaka Serengeti unafukuza watalii?

    Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak) Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
  15. JamiiForums Tanzania Bye bye Serengeti bia

    Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
  16. JamiiForums Tanzania Serengeti beer, sticker label yenu mpya ni ya hovyo!

    Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi. Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa! Kiwanda cha Serengeti warudishe sticker za zamani, ama sivyo narudi kunywa Mtikila!
  17. JamiiForums Tanzania Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
  18. JamiiForums Tanzania Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

    Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana. Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya. Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
  19. JamiiForums Tanzania Makreti ya bia kampuni ya serengeti yanauzwa

    Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
  20. JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…