serengeti boys

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys Waichapa China 2-0

    https://www.youtube.com/watch?v=AemOB_qdHo0 Pamoja na kukosa penati
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Fedha za Zawadi kwa Serengeti Boys, Tanzanite Queens zitalipwa, mchakato wa fedha za serikali unaendelea ili walipwe

    Baada ya mjadala kuwa mkali mtandaoni kuhusu ahadi ya serikali kwa timu hizo kugeuka hewa, Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, kuwa wanazifanyia kazi na mchakato unaendelea, huku kwa Tanzanite Queens mchakati ukielekea kukamilika. Hivi wangelipwa kweli kama raia wasingeliibua? ==== "Nimeona...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys wapigwa 500M

    Kichwa kinajieleza. Kambi imevunjwa leo, kesho wameambiwa asionekane mtu Tifany Hotel, kwenye Account kuna 2M za TFF pekee. Ahadi ya 500M imeota mbawa, wameambiwa waache A/c hela zitaingia ila madogo hawana imani maana hakuna ambacho walishawahi kuahidiwa wakatimiziwa. Haya mambo yanaumiza...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

    BREAKING NEWS…!! SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DJ Sma: Ningekuwa mimi, ningewapeleka Wazazi wa Serengeti Boys, wale Senegal wangekula 5

    Dj SMA kwenye mahojiano na Bongo Plus ametoa maoni yake kuhusu timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu Serengeti Boys baada ya fainali ya AFCON akisema ; Soma: Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Unaumia uwanjani kuimbwa Wanasiasa, ulitaka aimbwe Shangazi yako?

    Diwani wa Kata ya Kariakoo na Mtangazaji wa Wasafi Media ambaye pia ni Msemaji wa Timu za Taifa zote, Haji Sunday Manara amesema; "Alafu kuimba wanasiasa kwa Afrika, huu ni utamaduni wetu!" "Kama mtu analalamikia mpaka nyimbo... yaani hapo ndio utaona kwamba nchi ina matatizo makubwa. Yaani...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zungu: Kuna Kundi la Utoro Bungeni, Waliokwenda Morocco bila Kibali wachukuliwe hatua

    "Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania AFCON U-17 Morocco: Kauli ya Miraji Maramoja “Tuwaache Tusiwaingilie” Imekuwa Unabii Uliotimia Serengeti Boys?

    Wakuu salamu, Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji Maramoja, alitoa kauli fupi lakini nzito sana: “Tuwaache tusiwaingilie.” Wakati ule, wengi walichukulia...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mbunge wa CCM mwenye utovu wa nidhamu wavuliwe uanachama haraka iwezekanavyo

    Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki, amefanya uchochezi na kutoa kashfa nzito za uzushi dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa. Hili halikubaliki hata...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda alivyoshuka Jukwaani na kwenda kuomba Picha na Chole wa Serengeti Boys

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal
  12. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na Serengeti Boys kutotwaa ubingwa, raha tupu yaani!

    Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa. Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili. Hongera Serengeti boiz 👏👏👏👏.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies AFCON U-17. Mchezo huo utaanza saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Stade Moulay Hassan, Rabat, Morocco...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kupeleka wazee kushangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali ni jambo lisiloeleweka

    Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii ngazi ila bado hata nafasi ya vijana kwenda kushangilia vijana wenzao wanabana.. HII NI AIBU. Ila...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serengeti Boys kufuzu Fainali AFCON U17, tubaki hukuhuku tusiende kuwavuruga vijana

    Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026 Video: Mchambuzi Smart
  18. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia amesema Vijana 'Serengeti Boys' watakapomaliza AFCON 2027, wawekwe kambi maandalizi 2030 Tanzania kushiriki World Cup

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Mei 29, 2026, Dodoma, kufuatia Mechi ya jana Mei 28, 2026 ambapo timu ya Serengeti Boys ilifanikiwa kutinga Fainali ya AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya...
Back
Top Bottom