Je, vidonge vya ku "cream" ngozi ni salama?

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
2,766
Reaction score
6,515
Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana

Screenshot_20260510-111902.jpg

Huyu Binti alimuona rafikiye kapendeza sana baada ya kupotezana, sasa baada ya kumuuliza ndo akamwambia anatumia vidonge vya ngozi, japo huyu Binti alidhani ni vya ukimwi,

Nikamuelewesha ni kweli hivo vidonhe ni vya ngozi kifanya uwe mweupe, ila madhara sijui, mana nahofu na mambo ya uzazi labda yanaweza msumbua
 
Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana
Ukiangalia hii picha wewe unaona kitu?
 
Mafuta yoyote yanayobadili rangi ya ngozi og sio mazuri kwa ngozi! Japo mimi huwa naangalia kama hakuna hydroquinone ndio natumia maana unakuta lotion kali kama caro white ina asilimia 4.4-4,5% na mtu anaungua kama kaungua na moto! Hydroquinone inazuia melanin kutoka na hivyo husababisha kansa ya ngozi!

Vitamin c kazi yake ni kufanya ngozi ionekane bright na glutathione ni antioxidant ina kazi ya kufanya ngozi ku enlight! Na hizi huwa wanaweka kidogo tu ili product ionekane safe na sio safe! Acids kama AHA/BHA, hydroquinone, tretinoin, au steroids ndio zinazofichwa humo!
Kwahivyo mchanganyiko ni mwingi mwanetu!
 
Mafuta yoyote yanayobadili rangi ya ngozi og sio mazuri kwa ngozi! Japo mimi huwa naangalia kama hakuna hydroquinone ndio natumia maana unakuta lotion kali kama caro white ina asilimia 4.4-4,5% na mtu anaungua kama kaungua na moto! Hydroquinone inazuia melanin kutoka na hivyo husababisha kansa ya ngozi!

Vitamin c kazi yake ni kufanya ngozi ionekane bright na glutathione ni antioxidant ina kazi ya kufanya ngozi ku enlight! Na hizi huwa wanaweka kidogo tuili product uonekane safe na sio safe! Acids kama AHA/BHA, hydroquinone, tretinoin, au steroids ndio zinazofichwa humo!
Kwahivyo mchanganyiko ni mwingi mwanetu!
Sorry haya si mafuta, ni vidonge ndo navoulizia, kwani nilijaribu kumuhoji yule dada anatumia, kadai hatljaona shida yoyote na hutumii miaka yote ni zoezi la wiki mbili au mwezi unaacha mazima
 
Si kweli, watu wengi tu Wanatumia ndio na zina matokeo lakini haviwezi kukosa madhara especially kwa mtu ambaye hajawa na watoto ni heri aviache mara moja!
 
Nasikia Kuna mtu alimeza akaamza kuoza huku anajiona..

Kila utachoingiza tumboni mwako kinaenda kwenye mfumo wako wa damu.kinagusa Kila organ yako mwilini.tumbo,utumbo,kibofu,Figo,ini,kongosho,nyingi,moyo,mapafu nk.
Kabla hujameza uwe unafikiri kwanza.
 
Si kweli ishu ya kuoza huyo alikua na matatizo mengine, angesema labda kuharisha, kuumwa kichwa nk sawa ila kuoza hizo stori tu za mitaani hazina ukweli wowote
 
Si kweli, watu wengi tu Wanatumia ndio na zina matokeo lakini haviwezi kukosa madhara especially kwa mtu ambaye hajawa na watoto ni heri aviache mara moja!
Hata paracetamol tunazo kunywa zina madhara madhara ninayo onhelea hapa ni Yale makubwa kama cancer ya ngozi, Figo ini, au kukosa uzazi
 
Unachokitafuta utakipata tu! Kwani black beauty hazitafutwi tena siku hizi? Kwa nini usilainishe tu huo weusi wako?
Nashukiru sana, mi ni mfanya biashara huyu dada kanizindua, kuhusu vidonge nimshauri, nikaona hii ni fursa, let me use it nivichukue nisambaze, but nikataka nipate experience, come-on hata paracetamol unayo kunywa ina madhara kwani usimywe dawa za kienyeji ambazo nazo huleta kidney failure
 
Ini na figo ndivyo vinavyofanya kazi ya kuchuja hizo kemikali.

Unapomeza high doses za Glutathione kwa muda mrefu, unazichosha figo zako.
Vizuri sana, dozi ya kifua kikuu ni mpaka miezi sita kwani Figo aziumii, mi nafikiri mkuu, kwenye inshu za uzazi ila huko kwingine ni MUNGU tu Kuna dogo aliugua Figo zilifeli nikiwa advance level kwenye kitaa Fulani hivi ajabu nikua dogo hakuwa mnywaji wa pombe nk
 
Hiyo glutathione anayomeza, ikizidi mwilini bila uangalizi wa daktari, inaweza kusababisha Stevens Johnson Syndrome ngozi kuanza kubanduka kama umeungua na maji ya moto.

Mtu anameza dawa za Tb ili aendelee kuishi, ila hivyo vidonge anameza ili apendeze lakini ndiyo vinamuharibu ndani kwa ndani.
 
Nilivo sikia Mimi ni wiki mbili tu unaacha unaendelea na mambo mengine kama kunywa maji mengi, kula matunda mboga za majani na kifanya mazoezi Kwa nguvu
 
Back
Top Bottom