Leo ahsubuhi, nimepata wasaa wa kutafakari muktadha wa maisha yangu, Nilipo toka, nilipo, na ninako tamani kuelekea.
Nimesikitika sana kuona equations bado ngumu sana si X si Y zote bado hazijajulikana thamani yake.
Nikiwa na Miaaka 2 kitaa ya kuhasle baada ya kutoka chuo, Zile ndoto za...