sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Abdulla: Tuko tayari kushirikiana na Wawekezaji wa Sekta ya Mawasiliano

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji mbalimbali wa katika ya Mawasiliano walioonesha nia ya kuwekeza nchini. Amesema hayo tarehe 06...
  2. JamiiForums Tanzania Rais tumtakaye 2025 kwenye sekta ya kilimo afanye yafuatayo

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

    Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%. Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini Kutokea mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  5. JamiiForums Tanzania TRA Kukutana na Wadau wa Sekta ya Madini Kujadiliana Maboresho Sekta ya Madini

    TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI -Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo -Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano -Wizara ya Madini yajipanga kukusanya Trilioni 1 mwaka 2024/25 Dar es salaam Mamlaka ya Mapato...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  8. JamiiForums Tanzania TCRA-CCC na FCS wasaini makubaliano kuwalinda Watumiaji Huduma Sekta za Mawasiliano

    Taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) wametia saini makubaliano ya miaka mitatu na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC), ya Katika kuhakikisha juhudi za kulinda haki za Watumiaji wa huduma katika Sekta ya Mawasiliano...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

    Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi. Badala yake, Mwalimu Nyerere Foundation imekufa, walioiua, ili waonyeshe bado inapiga chafya...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Indonesia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Madini

    TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI - Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini - Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa. - Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukaacha ajira ya serikalini ukaingia sekta binafsi?

    Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM. Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu. Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na mvuto na ajira yangu. Labda niweke hivi, Kabla sijaingia kwenye ajira nilikuwa na kibiashara changu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kozi ya DIP in Fish Processing, Quality Assurance and Marketing. Je, ni sekta zipi ataweza fit ukiachana na sekta ya fisheries?

    Habari wakuu napenda ulizia ni sekta ipi inayofaa kwa graduate level diploma akiwa na cheti hiko hapo juu,, kwa kazi kuajiriwa ukiachana na fisheries.....au viwanda vipi vinafaa ,,, Yupo Dar es Salaam Asante
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuruhusu utalaam kwenye kila sekta

    Serikali pamoja na taasisi zake zote inapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye matumizi ya wataalam inayozalisha na ijikite kwenye kuwazalisha na kuwatumia. Sekta nyingi za kiserikali zimekuqa na shughuli mbovu na zisizozalisha kwa sababu ya kutoruhusu wataaluma kwenye sekta zao maeneo mengi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho Sekta ya Elimu Tanzania kwa miaka kumi na tano (15) ijayo

    Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utambulisho wa sekta za kiuchumi ndio utakaoing’arisha Tanzania yetu

    Tangu tupate uhuru yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na viongozi wa taifa letu, mambo hayo yalifanywa ili kuliwezesha taifa letu kuimarika kiuchumi na hatimaye kuweza kuendesha shughuli mbalimbali ndani ya taifa letu bila kuteteleka. Kwa kuwa na malengo kama hayo viongozi wa taifa letu...
  20. JamiiForums Tanzania TUJE KATIKA SEKTA YA MADINI

    Ni maamuzi gani "MAGUMU" ulishawahi yachukuwa kwenye SEKTA YA MADINI ambayo hadi leo hii YAMEKUSAIDIA na unakula MATUNDA yake..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…