sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Uvuvi ilikuleta maendeleo

    Kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta ya uvuvi nchini Tanzania. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na: 1. Uvuvi haramu: Uvuvi haramu umekuwa tatizo kubwa sana nchini Tanzania ambapo wavuvi hawafuati sheria na taratibu za uvuvi zilizowekwa. Hii husabisha upungufu wa samaki na kuathiri...
  2. Brighton11

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya Kiubunifu kwa Sekta ya Afya ya Tanzania: Mwaka 2024 hadi 2049

    Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na uboreshaji wa elimu katika Sekta ya Miundombinu

    UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  7. Edgar71

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile itakayokuwa na msingi ulio bora katika sekta mama ya elimu

    Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na ya hali ya juu kabisa, Baadhi ya maoni au mapendekezo au marekebisho hayo ni pamoja na...
  8. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo kwa Tanzania ya kesho kwa sekta ya Elimu na Afya

    Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini wastaafu wa Tanzania hawawekezi kwenye sekta ya viwanda?

    Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani. Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
  10. BabWoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Sekta ya Ngozi nchini ishindwe kukua kulinganisha na nyingine?

    Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini? Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
  13. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano

    DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano. Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko sekta ya elimu

    Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili. Karatasi zilizo zidi...
Back
Top Bottom