sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo aweka wazi Sekta 5 kinara wa Uchumi 2025/26. Sanaa na Burudani yashangaza kwa Ukuaji mkubwa

    Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kama ikitokea ghafla mwanadamu akapoteza uwezo wa kudanganya. Ni sekta ipi itaathirika vibaya mno?

  6. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha zaidi ya shilingi bilioni 164.1 sekta ya ardhi

    BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili kuendelea kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi zenye uwezo kimaendeleo kila sekta wanakuwa makini kenge wao.

    Neno kenge ni binadamu kuwa uhai si kitu ila wa binadamu mtoto wa raisi ambaye abdul ni kitu. Nchi zilizoendelea hata kama ni mkimbizi lakini wapo makini kuangalia wewe utafanana na abduli.
  8. W

    JamiiForums Tanzania WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya Bilioni 902 kati ya lengo la Trilioni 1

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hii jadi sasa hivi haina tena sekta. Zamani macho yalitazama kuanzia juu kuja chini, sasa yanaanzia chini kuja juu.

    Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke. "THE BOOTY TAKE OVER"
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi

    Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba wawekezaji kwenye Sekta ya Madini wanawajibika kwa jamii Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 kiasi cha bilioni 20.15 kimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya CSR kwa Halmashauri na miji inayozunguka migodi
  13. JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Yachangia Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA ▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024 #MguuKwaMguu SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI WAONGEZEKA KWA ASILIMIA...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Sekta ya Madini imepiga hatua, naipongeza Tume ya Madini ukusanyaji maduhuli

    NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema, kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania-Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini. Balozi Emily Burns ambaye pia ametumia kikao hicho kwa ajili ya kujitambulisha,amesema nchi ya Canada ipo...
  18. JamiiForums Tanzania JINSI SAUTI ZA AI ZILIVYO BADILISHA SEKTA YA UTANGAZAJI.

    Jinsi Sauti za AI Zinavyobadilisha Sekta ya Utangazaji Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya Sauti za Akili Bandia (AI) imepiga hatua kubwa. Leo hii, kompyuta zinaweza kusoma maandishi kwa sauti inayosikika kama ya binadamu halisi. Hii imeleta mapinduzi makubwa hasa katika...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Enyi wawezeshaji wa mdahalo juu ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi muwaelimishe hao wachangiaji wenu vinginevyo hapo mnapoteza tu muda

    Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…