sekta ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    SoC04 Tanzania tuitakayo sekta ya elimu

    FAIDA NA ATHARI ZA KUONGEZEKA KWA WASOMI WA VYUO VIKUU NCHINI TANZANIA BILA FURSA ZA AJIRA. TANZANIA TUITAKAYO KWA MIAKA 5 HADI 25 IJAYO. ANDIKO HILI LIMEANDALIWA NAMI: MARTIN BERNADINI BENEDICT. +255 765 538 929/+255 785 641 235 UTANGULIZI Nchini Tanzania, idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu...
  2. I

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Mitaala bora ni chanzo cha kufuta upungufu wa ajira uliopo sasa na miaka ijayo

    MITAALA BORA NI CHANZO CHA KUFUTA UPUNGUFU WA SOKO LA AJIRA TANZANIA Habari za mdq huu ndugu zangu, Kama kichwa kinavyojielezq Mimi NI mwalimu wa shule ya msingi ambae nimefundisha mikoa tofauti tofauti nilichogundua katika utendaji wangu wa kazi ni kwamba Taasisi ya Elimu Tanzania imekuwa...
  3. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo katika sekta ya elimu

    Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:- 1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
  4. BARAKAS SANGA

    SoC04 Sekta ya Elimu

    Ili kuboresha sekta ya Elimu Tanzania na kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji mashuleni hususani katika kipindi hiki cha mabadiliko ya sayansi na teknolojia na matumizi ya vifaa vya TEHAMA ni vyema Serikali kuhakikisha inaboresha mazingira ya kimtandao mashuleni Uwepo wa huduma ya...
  5. Termux

    SoC04 Safari Ya Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu na tekinolojia

    Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia - Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni. - Kuweka vituo vya...
  6. V

    SoC04 Maendeleo kwa Tanzania ya kesho kwa sekta ya Elimu na Afya

    Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
  7. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  8. S

    SoC04 Mabadiliko sekta ya elimu

    Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
  9. A

    KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili. Karatasi zilizo zidi...
  10. J

    Bajeti ya kuleta mageuzi sekta ya elimu yapita kwa kishindo

    BAJETI YA KULETA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU YAPITA KWA KISHINDO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele vitano vya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ili...
  11. X

    SoC04 Serikali iwekeze katika elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa

    Utangulizi Tanzania tuna umuhimu wa kufanya mageuzi ya kina katika sekta ya elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Ninatoa maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha mfumo wa elimu kwa miaka 5 hadi 15 ijayo, yakizingatia mabadiliko ya...
  12. A

    SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  13. Stephano Mgendanyi

    Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  14. Janeth Thomson Mwambije

    Maboresho ya sekta ya elimu yanaendelea kwenye shule za kata

    Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara. Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe. Janejelly James Ntate, Ambaye Alihusia na Kuwatia Moyo Wanafunzi Waliohitimu Kidato Cha Nne...
  15. Roving Journalist

    Jakaya Kikwete aongoza Hafla ya Kutambua Mchango wa wadau kwenye Sekta ya Elimu, leo Agosti 31, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Hafla ya Kutambua Mchango wa wadau kwenye Sekta ya Elimu, leo Agosti 31, 2023 ambapo Rais Mstaafu wa Awamu ya 4, Jakaya Kikwete ni Mgeni rasmi. https://www.youtube.com/live/raloGdmwvcM?si=d363Ji_93ncuTOGv ==== UPDATES ====== Rais msitaafu Jakaya Kikwete ambaye ni...
  16. D

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji: Kitovu cha Elimu Bora

    Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na utelekezaji kwa uwazi, ushirikiano na uwajibikaji vilevile uwajibikaji unahusu majukumu ya wahusika au...
  17. T

    SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu

    Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu, kutoka kwa serikali na taasisi za elimu hadi kwa walimu, wanafunzi, na wazazi. Katika makala hii...
  18. R

    SoC03 Tuwajibike kuboresha Sekta ya Elimu

    Sekta ya ELIMU ni sekta nyeti sana kwani ndiyo chanzo Cha wataalamu mbalimbali nchini watakaotumika katika sekta nyingine. Kufuatia umuhimu wake yafuatayo ikiwa yatazingatiwa tutegemee mabadiliko chanya katika sekta ya ELIMU nchini Tanzania. Kuimarisha Ubora wa Elimu: a.Mafunzo ya Ualimu na...
  19. Roving Journalist

    Muhtasari: Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha Mwaka 2023/24

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24 DODOMA MEI, 2023 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
  20. Y

    SoC03 Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu

    Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya elimu. Ubora wa elimu ulikuwa umeshuka sana. Walimu walikuwa hawana motisha na uwezo wa kufundisha. Wanafunzi walikuwa hawana vifaa na mazingira bora ya kujifunzia. Mitihani ilikuwa...
Back
Top Bottom