sekta ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elimu story

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

    Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mchango wa Sekta ya Elimu katika maendeleo

    Sekta ya elimu ni mojawapo ya sekta nyeti sana katika maendeleo ya kila taifa hapa ulimwenguni ikiwemo Taifa la Tanzania. Hili lipo wazi na hakuna wa kupinga kwani zipo ithibati nyingi dhahiri zinazobainisha suala hilo. Katika nyanja zote za uzalishaji mali kama vile ufugaji, kilimo,biashara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Serikali inatoa kipaumbele sekta ya elimu

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Ndg. Shaka Hamdu Shaka, amesema Serikali ya CCM inatambua na kuthamini mchango mkubwa unatolewa na...
Back
Top Bottom