sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  3. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata vitu hivi?

    Milk thistle Turneric Cinnamon Stevia au moringa Gymnema sylvestre Ginseng Gotu kola Tangawizi & mint Peppermint Pineapple Enzymes Rosemary ( majani)
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hatukuwaacha shuleni tu, ni mpaka makazini hadi kwenye taasisi watu hawa hufanya maisha ya sehemu husika kuchangamka

    Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
  5. JamiiForums Tanzania Nilisikia sehemu kwamba "TUNATAKA KUVUNA KURA NA SIO MABUA HIVYO HATUTACHEKA NA NYANI" Nikajua utani bwana kumbe njemba zilikua serious.

    Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu" Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kufanyia usahili wa mahojiano

    Wakuu habari, Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa sehemu ya jopo la uongozi wa IDU, hakuharakishi viongozi Madikiteta Africa kufikishwa ICC?

    Miongoni mwa shughuli ambazo IDU huzifanya, ni pamoja na Kulaani, kuweka msimamo wa kisiasa, au kuhimiza jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua, Na kazi ya Jumuia ya kimataifa, ni kufanya uchunguzi wa mambo maovu yanayofanywa na aidha serikali na ama kiongozi na kisha Umoja huo kutoa agizo la...
  10. JamiiForums Tanzania Ukifika Japan hakuna sehemu ya kutupia uchafu public na maeneo yao ni masafi

    wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida. Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako. Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mkutano wa CHAUMMA: Tulimpambania Lema akawa mbunge miaka 10, leo anasema CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge

    Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi. Watu wa aina hii ni...
  12. JamiiForums Tanzania Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

    Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
  13. JamiiForums Tanzania Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ulisikia maisha ni nafuu ila ulipofika ulikuta hali tofauti

    Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
  15. JamiiForums Tanzania Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa

    Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona" kwanza kutekwa ni kupi ? Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa. Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
  16. JamiiForums Tanzania Houth wanatakiwa wapigwe sehemu zifuatavyo ili kuwadhoofisha!!

    Je, Israel inaweza kushambulia malengo gani ili kudhoofisha utawala wa Houthi? Kufikia sasa, Israel imeshambulia bandari, mitambo ya saruji, mitambo ya kuzalisha umeme na viwanja vya ndege nchini Yemen. Marekani, kwa upande wake, ilishambulia shabaha nyingi za kijeshi kwa kiwango kikubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Java: Utangulizi ! || SEHEMU 1

    Je, umewahi kujiuliza programu zinazotumika kwenye simu yako au kompyuta zinafanyaje kazi? Au unatamani kuunda programu zako mwenyewe? Basi kujifunza programu kwa kutumia Java ni njia nzuri ya kuanza! Kwa Nini Java? Rahisi kujifunza: Java ina muundo rahisi kueleweka, hivyo ni lugha nzuri kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Datatypes, Operators, Strings na Numbers Kwenye Java | SEHEMU 3

    Kwa Nini Ujifunze Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers? Hizi ni Kama blocks kwa ajili ya ujenzi wa Program yako. Vitakuruhusu kuunda programu thabiti na bora. Hapa kuna baadhi ya faida za kujifunza Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers: Uwezo wa kutumia aina mbalimbali za data...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  20. JamiiForums Tanzania Videos : Hili sakata Yanga tunapigwa Miti kila sehemu. Huku Simba wamenyamaza tu

    Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili. Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…