sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ulengaji Shabaha ya Kigamboni ipo sehemu gani?

    Kuna jamaa yangu anaulizia sehemu ya kujifunzia au kufanyia mazoezi ulengaji shabaha. Nafikiri niliwahi kusikia ipo Kigamboni. Msaada kwenye tuta.
  6. JamiiForums Tanzania Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa na CNN kama sehemu bora ya kutembelewa kwa mwaka 2023

    Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo. Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
  8. JamiiForums Tanzania Atoa matapishi mazito kipindi ananyonya sehemu za siri za mpenzi wake

    Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana. Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana. Dada mmoja ambaye baadaye nilikuja kumfaham kwa jina moja tu la Mwantumu amezua tibwili zito lodge hapo baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

    Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp. Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaokwenda usiku huu Dodoma tupite Didz, Starpark, Samaki Morogoro, ntakuwepo sehemu zote

    Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma. Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu...
  11. JamiiForums Tanzania Vituo vingi vya kulelea watoto yatima vimekuwa ni sehemu ya upigaji

    Habari ndugu wana jamii forums wenzangu, Siku ya leo naomba niwasilishe hili tatizo ambalo nimeliona, nimekuwa ni mtu wa kujitolea kwa kile kidogo Mungu anachonibariki sehemu mbalimbali na kwa watu mbali mbali wenye uhitaji hapa nchini. Changamoto niliyoikuta au kuiona misaada inayotolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe ni trojan Horse, siyo Mpinzani ni sehemu ya Utawala!

    Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure. Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako...
  13. JamiiForums Tanzania Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  15. JamiiForums Tanzania Mgeni ukifika sehemu jitambulishe

    Jina langu na muda vinasadifu yote salamu GT
  16. JamiiForums Tanzania Askari wa Urusi sehemu ya"mobilized "Waandamana na kuvamia kambi ya Kijeshi wakidai warudishwe nyumbani!

    Moja ya madai ya hao kuruta wa kirusi ni vifaa duni vya kijeshi walivyopewa🤔 ..... Mobilised Russian soldiers preparing for the war in Ukraine appear to have enough poor equipment and training as a mass walkout is caught on camera in Kazan, southwest Russia. The footage shows uniformed...
  17. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya maeneo

    Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

    Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo hazipaswi kuwa na mgao wa umeme

    1. Hospitali 2. Kambi za jeshi 3. Vituo vya polisi 4. Magereza 5. Public installation
  20. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…