Amakweli tembea uone.
Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu.
Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo...