sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba Levo ahutubia wajumbe akiwa na miwani ya giza, ni sawa?

    Ni sawa kuwahutubia wajumbe ukiwa umevaa miwana kama hii? https://youtu.be/JbhL8mwx67c?si=v0ogSQY26ydWrzV8
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu wa i phone 17 kuzinduliwa

    Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁 Mabaharia washanielewa. Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa bei sawa na Bure

    Habari... Bajaj inauzwa bei sawa na Bure Bei 4.5m Location kigamboni dar es salaam... Mawasiliano DM Full documents
  4. JamiiForums Tanzania Si sawa kuzima mtandao kisa mtu mmoja, anayetaka kuongea yake!

    CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision? Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6). Sioni lolote linaloweza kufanyika kubatilisha uamuzi uliokwisha fikiwa na vikao vyote halali vya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mapacha walikuwa watatu, kumkata mmoja pekee SI sawa

    Salaam! Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida. Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani, Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
  6. JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

    Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ukipata mfanyakazi anayeenda sawa na maono ya biashara yako usimvuruge

    Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini kuendana na biashara. Unaweza pata mchapakazi na smart ila akawa na hitilafu kwenye uaminifu. Au...
  11. JamiiForums Tanzania Kibiblia mtumwa anachukuliwa kama mali na sio sawa na binadamu wengine

    Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu ila kulikuwa na adhabu isiyo ya kifo endapo mtu atamuua mtumwa wake. Na biblia imeandika kuwa mtu...
  12. JamiiForums Tanzania CCM tunaomba kuwekana sawa kwenye hili Jambo

    CCM naomba kuwambia jambo moja makosa na udhaifu wa wanachama wenu mnayajua vizuri, na ni bora mkawawajibisha au kuwafukuza kabisa ili kulinda heshima ya chama chenu mapema, kabla wao hawajaamua kufunguka mabaya yanayoendelea ndani ya chama chenu. Yahani ni mara mia mkaa kimya kuliko kuwajibu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka $700m au TZS1.82 Trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14 Trilioni ongezeko ni TZS8.32 Trilioni

    Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa DR mazda anatumia toyota??? Kwanini asiziamini mazda anazotengeneza??

    Hawa mafundi wa kibongo wanafikirisha sana tena probox..!!
  16. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  18. JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

    Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…