sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni mengi tunapitia lakini sio sawa kulisema vibaya jeshi letu, hakuna aliekamilika 100%

    Jeshi letu ni taasisi imara, ni wazalendo, tunalipeda, tunajivunia kuwa nala, ni nembo ya ujasiri na ulinzi si hapa Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima kwa muda mrefu limekuwa jeshi lenye heshma yake kubwa. Tupunguze lawama, haijakaa sawa kabisa, Na pia Tukumbuke jeshi ni Mfumo, Jeshi...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kuna namna hailo sawa

    Watanzania ni kama tunapita kwenye tanuru la moto kutokana na makosa tuliyofanya wenyewe, Tuliaminishwa rsis Magufuli ni mbaya sana lkn kwenye macho ya wengi alikuwa mkombozi wa wengi sasa ogopa sana ktk maisha umpoteze mkombozibwa wengi kinachofuata huwa ni majuto kwa wengi wito wangu ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  5. JamiiForums Tanzania Amani ni sawa na bikra ikiondolewa hairudi

    amani ni sawa na bikra ya mwanamke ikiondoka kurudi kwake ni vigumu sana so kwa hapa tulipofikia tutarajie machafuko zaidi ya haya
  6. JamiiForums Tanzania Mkoa upi ulikinukisha kisawa sawa, tupe top 5 yako

    1. SONGWE Oyaa wanangu wa SONGWE nawapa nambari wani, huko Tunduma kilinuka mno, Ilikuwa usiku wa kuamkia uchafuzi 28 Oktoba nyie mlitutoa usingizini 2. ARUSHA Macharii wa chuga mlitisha, Oyaaa sio kinyonge Mlipinga Kwa vitendo kwamba hamtaki Bashite na Chama cha mavii Kudos chuga boys 3...
  7. JamiiForums Tanzania Mkunda ametuita wananchi “waharifu”: Hii si sawa

    Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
  8. JamiiForums Tanzania TCRA: Watumiaji wa Huduma ya Intaneti wameongezeka kutoka Milioni 54.1 (Juni 2025) hadi Milioni 56.3 (Septemba 2025) sawa na 4.1%

    Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

    QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo. "Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Rais Mama Samia alisema mimi kama mwanamke lazima nimtue mwanamke wa kata ya Kisulu ndoo kichwani kwa kumpelekea maji

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  14. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  16. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  17. JamiiForums Tanzania Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy akili zake hazipo sawa

    Msanii nguli wa bongo fleva. Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona. Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo. Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
  20. JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…