SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi.
Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo.
Maswali ya kujiuliza ni:
Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama?
Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
Anonymous (2a9d)
Thread
halmashauri
kugawa
namba
sawa
sio
taarifa
usalama
watumishi
Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf
Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR.
Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya Iran.
Na ongezeko hili limetokea mapema tangu maandamano yaanze kwahio kama maandamano yakiisha...
Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
Marekani, taifa lililojengekwa kwa ujambazi na utumwa, limerudia asili yake.
Leo, limechukua mafuta ya Venezuela.
Kesho, hatujui litachukua madini ya nani.
Kesho kutwa, hatujui litawachukua watu gani kuwafanya watumwa.
Mtondo, hatujui litakuja na mpya gani.
Mtondogoo, hatujui, litaanzisha...
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko...
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia cha Mapinduzi CCM.
https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe
Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa.
Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake.
Hata huko nyuma, amekuwa akitembelea Tanzania mara kwa mara. Lakini safari hii, kaikuta Tanzania iliyo tofauti kabisa kiasi cha...
Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu?
Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa kijinga jinga. Wizi na ufisadi , udini uliojaa , uzanzibari na ubara , utekaji na wizi wa kura. Ni...
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?.
Jibu langu kwako ni 👇
Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za...
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka
Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
Hapa Mbezi Luis kwa Yusuf Kuna mzunguko ambao magari yote yanagawanyika,yanayotolka Kibaha, yanayotoka kinyerezi,yanayotoka Mpigi magoe yanayotoka stendi ya Magufuli yote yanakutania hapa,sasa sijui ni uroho au ulevi mtu anatoa kibali cha kuweka makontena ya biashara katika eneo hili, bila...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...