sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzito wa Gambo na Lema sio sawa kwenye ulingo. Sio fair kwa Gambo

    Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha. Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Amber Ruty na Davil walifungwa kwa kosa sawa na la huyu askari wa zanzibar iweje leo Serikali kimya?

    👤hatua gani imechukuliwa kwa askari huyu aliyevujisha video chafu na kuridharirisha Taifa , kibaya zaidi ni kiongozi wa serikali. 👤 Tunaomba ufafanunuzi, Amber Ruty na mmewe walifungwa kwa kosa kama ili la askari alolifanya .
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" . Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Viongozi walioapa akiwemo Mkurugenzi wa Uchaguzi wasome na kuelewa Ilani ya CCM ili kumuunga mkono Rais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023 Dr. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaasa viongozi wote walioapa leo akiwemo Mkurugenzi wa Tume...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanadamu sawa na kuku bandani

    Wakuu salamu zenu. Nimekaa na kutafakari hali ya maisha yetu sisi binadamu nimeona yapo mithili ya maisha ya kuku bandani. Kuku anafunguliwa asubuhi kutoka bandani hapo anapata "uhuru" wa kuvinjari na kujitafutia riziki, katika kipindi hicho kumswaga ili arudi bandani sio kazi ya kitoto, ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Kuna kijana kaniuliza kwani we uliyejiajiri unaingiza zaidi ya 5M au upo chini ya hapo. Na mjibu kama ifuatavyo 👇 Tatizo sio kuingiza kiasi gani we utakuwa mbumbu na unatetea upuuzi bora kuingiza buku yangu kuliko kutumia akili yangu kumuingizia million mwajiri wangu. Hapa kinachozungumziwa ni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuagiza Pizza kwa miaka 10, ghafla kuna kitu hakikuenda sawa!

    Ilikuwa ni mwaka 2020, anajulikana kama Alexander Kirk alikuwa ni mmoja wa wateja kindaki ndaki wa Pizza katika Duka la Domino. Majirani wanasema ni mtu ambaye ni mara chache kuonekana mtaani na hata alipokuwa anagongewa mlango basi ilikuwa ni mara chache sana kuitikia au kufungua mlango...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali; SWALI Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume? Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho. Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
  15. JamiiForums Tanzania Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

    Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo. Familiya ya Glazer, ambao ndio wa miliki wa klabu hiyo wanataka kuiuza kablu hiyo katikati mwa mwezi huu wa February. Mtandao...
  16. JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  17. JamiiForums Tanzania Naweka Kumbukumbu Sawa, Murtaza Mangungu ni Mwana-CCM Kindakindaki, Wakili Kaluwa kutoboa ni ngumu sana

    Wakuu kwema? Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board. Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Wanachamna ni pamoja na Bwana Murtaza Mangungu ambae ndie Mwenyekiti anaemaliza muda wake. Huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Asali aliyolambishwa Mbowe na Rais Samia ni sawa aliyolambiswa Adam na Eva

    Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini. Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio boss we mfanyakazi unataka haki sawa ufanane na mimi

    POVU: KUNA KIMTU KIMENIKERA ASUBUHI ASUBUHI Kuna kamtu kananiletea hoja za haki sawa. Yaani katoto ka 2003, ana miaka 20 kasoro miezi kadhaa kananihangaisha mzee mkubwa na ndevu zangu. Yani nikaajiri, kasifanye kazi nnayotaka, kajipangie siku za kuingia kazini na muda wa kutoka halafu...
  20. JamiiForums Tanzania Ismael Sawadogo ni mnyama!

    timu atokayo ni Difaâ El Jadida Morocco. Umri: Feb 28, 1996 (26) Uraia: Burkina Faso Nafasi: kiungo mkabaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…