sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  3. JamiiForums Tanzania Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Books, 50 Students! Grade 10 learners wakipigania elimu CBC system iko sawa kweli?

    Wadau, mambo si mazuri ground. Grade 10 learners across the country wanapitia serious textbook crisis just after first term. Imagine class ya wanafunzi 50 wanashare vitabu 9 pekee learning inakuwa struggle kabisa. Teachers na principals wanakiri kuna shortage but wengi hawawezi speak openly juu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

    Ndugu zangu eid mubarak Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo. Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani...
  10. JamiiForums Tanzania Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

    CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo yafuatayo : a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo. b. Ili uchukie lazima uwe...
  11. JamiiForums Tanzania Ajira kufukuza watu kwenye usaili waki hawajatembea na vyeti vya ngazi za chini ili hali vya kaz husika anavyo?

    Yaani unakuta kazi inataka Degree ya HRM unafika na cheti chako cha Degree na Matokeo yake, Watumishi wa Secretariate wa Ajira wanakuzuia kufanya usaili eti mpaka ulete vyeti vyote vya ngazi ya Diploma na Certifcate. Sasa pia inapotokea labda umewapa cha Diploma na hivyo vingine vya level ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu. Hii itaimarisha muungano wetu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Zahanati ya Kimara iongezewe dawa muhimu, kuwaambia wagonjwa wakanunue dawa nje ya kituo sio sawa

    Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika. Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Kwanini ofisi nyingi za serikali mtandao haujawahi kuwa sawa?

    Ukitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  18. JamiiForums Tanzania Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Iko Sawa, Pesa Hakuna: Would You Marry While Broke?”

    Unakubalia na views za huyu mwenzetu,. Toa maoni yako
  20. K

    JamiiForums Tanzania TFSS 1.1

    Ni sawa na sh ngapi kwa mishahara ya tfs kwa sasa? Kwa mwenye uzoefu wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…