sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

    Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sawa Chasambi kakosea, ingekuaje Camara angeudaka mpira?

    Mpira ni mchezo wa makosa, hilo ni kawaida kwa wa mpenzi wa mpira tunakubaliana isipokua wapenzi wa Simba na Yanga. Ingekuaje Mussa Camara angeamua kuudaka ule mpira? Madhara yangekua yapi katika mechi?
  3. JamiiForums Tanzania Je hii ni sawa? Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja

    Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja, tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri wa miaka 15 nae mwanafunzi pia wa sec. Na wadogo zao wengne kuanzia miaka 14 kushuka chini. Kaja...
  4. JamiiForums Tanzania Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

    Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa. Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na kujifunza ila sio kucheza mitindo hii tena mbali zaidi kufanya challenge za mitandao ya Facebook na...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  6. JamiiForums Tanzania Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

    Poor Brain mapenzi yata kuua min -me endelea kufanya meditation
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

    Habarini Wana JF, Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho makali kama darubini ya kusoma Soksi huyu ni mwanafunzi wa shule ya msingi Kisasa _Dodoma? Soksi hiyo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane kuondoa matabaka kwenye shule zake. Kibaha iwe sawa na Oljoro

    Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

    Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema anahitaji ushauri wa saikolojia, hayupo sawa. Atunga kitabu kuhusu Mbowe

    Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
  12. R

    JamiiForums Tanzania CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

    Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  14. JamiiForums Tanzania Smart Hospitals: Manesi, wakae mguu sawa.

    Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini. Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi kusambaza dawa. Ingawa kwetu huku labda 2050 ndio tutafika hatua hii.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

    Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
  16. JamiiForums Tanzania Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Wapendwa habari? Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba. Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake. Kilichonishangaza ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hili heche sio sawa kumvunjia heshima Mbowe

    Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii. Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman? Chama chenye dola kama CCM unaweza kuandika hivi? Ushauri Mitandao ya kijaamii yasikuvimbishe kichwa, utapotea ktk siasa za upinzani mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…