Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,689
Reaction score
99,474
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo

Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea

Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa na Rwanda chini ya Kagame
 
Ramaphosa kaja ila hajaenda kwenye mkutano, kapeleka waziri wa mambo nje, itakua yupo sehemu hapo dar anaandaa jungu na hangaya jinsi ya kuruka na wapiga katerero
 
Ramaphosa kaja ila hajaenda kwenye mkutano, kapeleka waziri wa mambo nje, itakua yupo sehemu hapo dar anaandaa jungu na hangaya jinsi ya kuruka na wapiga katerero
Mkutano wa nn wakati vijana wa PK wamewazdhibiti majeshi yote ya SADC

We huoni alikuja Kwa mbwembwe ktk mkutano na akaongea Kwa nyodo , anajua kuwa Kuna watu kawadhibiti sehemu, ondookeni rasmi niwape watu wenu ... wenyewe wamesaini
 
Back
Top Bottom