sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu Mtungi wa gesi uko sawa wakuu?

    Siku za karibuni nimegundua gesi inaisha haraka Sana nyumbani Wakati matumizi ni Yale Yale na watu ni wale wale Sasa Leo nimenunua Nimefunga Tu mshale unasoma hivo Hii ni sawa wakuu?? Maana kwenye bili za maji ndo usiseme Naona kama watanzania tunaonewa kila mahali jamani. Wale wataalamu...
  2. JamiiForums Tanzania Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa TAKUKURU - Iramba: Takrima za watiania ya kugombea katika Uchaguzi ni sawa na Rushwa

    “…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
  4. JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  5. JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  6. JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  7. JamiiForums Tanzania Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
  9. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    “My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
  10. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni sawa tunapata mshiko wa Mama kanisani kwetu, lakini washirika wetu wanasemaje

    Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii. Wengi wanajisikia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Askofu & Mch J. M. Gwajia toa kauli yako t. Yaliyotokea leo J'pili polisi kutuvamia tukiwa ibadani, kutupiga na kuwakamata baadhi ya wenzetu sio sawa!

    https://youtu.be/EQnhTrDiykk?si=c1X_I-Sskz3-cwZR Baba Askofu, toka tulipokuona mara ya mwisho tarehe 2/6/2025 siku ya kwanza ya mkesha kanisa kuu ulipotea Lakini leo tumeona picha zimezagaa ukichukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe Ni jumapili ya nne mfululizo serikali kupitia jeshi la...
  13. JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

    Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry. Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa au napigwa

    Fundi kanitumia hii bajeti ya kuchimba shimo la choo, wataalamu wa ujenzi hii iko sawa?
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa kwa watanzania inatubidi tukifikirie na tukichukulie hatua

    Inatokea watanzania tumeamua kwa pamoja kuwa wafugaji na katika ufugaji huo tukaamua kwa umoja wetu tufuge wanyama wawili tu, NGAMIA na NGURUWE. Na kwakuwa kuna uhaba wa malisho tukaona ni vyema wanyama hawa tukawalisha kwa msimu mmoja mmoja ili kuleta usawa baina ya wanyama hawa na kupata faida...
  16. JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  17. JamiiForums Tanzania Alichofanya Abacha kwa Ken Saro Wiwa ndicho anachofanya Samia kwa Tundu Lissu. Wanigeria waliona sawa enzi zile leo ni kitovu cha Ugaidi na Ufisadi.

    Hakuna jipya chini ya jua. Huu ni msemo maarufu sana unaomaanisha hakuna kitu kinachofanyika leo duniani kwenye maisha ya kawaida ya binadamu ambacho ni kipya. Miaka ya 1990- 1997 nchini Nigeria alitokea Dikteta maarufu sana Duniani aliyejulikana kama Generali Sani Abacha. Kiongozi huyu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Jengo la Biashara linauza Kariakoo Mtaa wa Aggrey

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  20. JamiiForums Tanzania Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

    Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich. Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho. Afu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…