Saudi Arabia imeongeza mauzo yake ya mafuta hadi zaidi ya nusu ya viwango vya kawaida licha ya usumbufu kutoka kwa vita vya Iran.
Ufalme huo unasafirisha mafuta kupitia bomba hadi bandari ya magharibi ya Yanbu, huku usafirishaji kutoka Yanbu ukiwa na wastani wa mapipa milioni 4.19 kwa siku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia.
Wakati Wakenya wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu mateso, passport kushikiliwa na contracts fake, Saudi Arabia sasa imeweka fines kali kwa employers wanaokiuka sheria.
Sheria mpya iliyotolewa na Ahmed Al-Rajhi amesema kuwa
SR10,000 (KSh 340K) fine for hiring bila valid permit
SR200,000 (KSh...
Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake.
Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu.
Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen.
Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili.
------++-
DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia.
============
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Dodoma, 23 Disemba,2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa...
Nchi nyingi zinazonunua ndege za kivita aina ya F-35 huuziwa toleo la kawaida, lenye udhibiti mkali. ni sawa na kununua simu ya mkopo au iliyofungiwa laini ya tigo au yas,
Israel ndiyo taifa pekee (isipokuwa Marekani yenyewe) linaloruhusiwa kufanya modifications za F-35 ikiwemo kuweka avionics...
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini.
Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini.
Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al...
Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo.
Kumbuka UAE, chama cha kigaidi cha Muslim brotherhood kimepigwa marufuku ila Qatar ndio makazi yao.
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026
Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Ajali...
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.