sare za jeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maghayo

    Mnamkumbuka huyu Mwamba aliyevaa sare za jeshi kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea kusakwa kwa udi na uvumba?

    Mzuka Wanajamvi! Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema. Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto. UPDATE: KUMBE ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA...
  2. Lady Whistledown

    Angola: Wachungaji wakamatwa kwa kuvaa sare za jeshi

    Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi. Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za...
Back
Top Bottom