Saratani ya kibofu Cha mkojo(bladder cancer)

Doctor MD

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
248
Reaction score
308
Moja ya saratani isiyozungumzwa na wengi ila huwakumba wagonjwa wengi sehemu mbalimbali za Tanzania haswa Kanda ya ziwa.

Watu walioko kwenye hatari ya kupata saratani ya kibofu Cha mkojo.
1. Wavutaji sigara. Kwa wanaovuta sigara wako hatarini mara 3 Hadi mara 4 ya wasiovuta katika kupata ugonjwa wa saratani ya kibofu Cha mkojo.
2. Maambukizi ya ugonjwa wa kichocho haswa wakati wa utoto. Hii imekuwa zaidi sehemu mbalimbali za Tanzania
3. Kufanya kazi sehemu za viwanda haswa zinazozalisha zaidi plastic, rubber, rangi
4. Matumizi ya madawa yanayotibu saratani kama vile cyclophosphamide na pioglitazone yanayotibu kisukari pia huongeza uwezekano wa kupata saratani ya kibofu Cha mkojo
5 maambukizi ya UTI ya mara kwa mara
6. Familia ambayo mmoja wapo ashawahi umwa saratani ya kibofu Cha mkojo
7. Umri kuanzia Miaka 55, jinsia ya kiume, unywaji maji kiasi kidogo, ulaji wa vyakula vya fati. Hayo yote huongeza hatari ya kupata saratani ya kibofu Cha mkojo.

Dalili za saratani ya kibofu Cha mkojo
1. Kukojoa damu
2. Kukojoa mara kwa mara
3. Maumivu wakati wa kukojoa

Dalili za ugonjwa uliokuwa mkubwa
1. Maumivu chini ya kitovu
2. Maumivu ya mifupa
3. Miguu kukaa

Endapo unapata dalili hapo juu basi wahi sehemu ya kutolea huduma au piga namba za simu 0757160773
 
Somo zuri.!
Point #7, nafikiri jinsia ya kiume ni zaidi kwa wenzetu, ila kwa uzoefu mfupi niliouona, jinsia Ke aisee imeathirika zaidi. Katika wanawake 5 wenye umri kuanzia 59yrs wanaokuja na lalamiko la kutoka damu kwenye njia ya mkojo, 3-4 basi ni saratani ya kibofu ukifanya kipimo.
 
"Miguu kukaa" Inamaanisha miguu kufanyaje?
 
Somo zuri.!
Point #7, nafikiri jinsia ya kiume ni zaidi kwa wenzetu, ila kwa uzoefu mfupi niliouona, jinsia Ke aisee imeathirika zaidi. Katika wanawake 5 wenye umri kuanzia 59yrs wanaokuja na lalamiko la kutoka damu kwenye njia ya mkojo, 3-4 basi ni saratani ya kibofu ukifanya kipimo.
Jinsia ya kiume ndo ipo hatarini zaidi kama nilivyotoa maelekezo na wewe kama ulivyoongeza shukurani
 
Back
Top Bottom