sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chadema ngumu sana kuishi kwa sasa

    Chadema ngumu sana kuservive katika msuko msuko wa siasa hizi, watakuwa kama Muslim brother Huud kilivyosambaratishwa nchini Egypt
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

    Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao... Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  5. JamiiForums Tanzania Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

    Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo: SPSS, R, Python, STATA, SmartPLS, MATLAB, SAS, NVivo, MAXQDA, 📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo: Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426 Email: bandg.editors@gmail.com
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

    Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
  8. JamiiForums Tanzania MADHARA YA UTANDAWAZI NA MUINGILIANO WA KIUTAMADUNI: Ni ngumu sana mwanaume wa sasa kuchomoka kwenye mitego ya Ngono.

    Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono. Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
  9. JamiiForums Tanzania Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

    Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
  10. JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  11. JamiiForums Tanzania Kama unasugua sana Vipapiro na ni Mzee wa Pekululu Zingatia sana hili

    Ndiyo mimi nina miaka zaidi ya 20 sijatumia kiatu. Napenda kucheza game pekuluku au pekupeku. Nahakikishia uwanja umeloana vizuri sana ndo naingia ndani. Hapo nitavuruga nitakavyo. Kama unapenda kula kipapiro, mbususu , papuchi, kipochi manyoya, kipochi nyevu. Hakikisha kwa usalama wenu kiwe...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla umekuwa ukiililia sana Simba SC, Je ukibwagiwa zigo utaliweza?

    Jamaa kila uchwao huwa anaililia simba hii, akipewa ataimudu au Ana mpango gani?, kuhusiana na simba atuwekee hapa!
  13. JamiiForums Tanzania Kipyenga cha mwisho huwa kinaongozwa na wachambuzi wa ajabu sana

    Yani Ile faulo ya mpanzu mchambuzi anaona ni ya kawaida na anaitetea!? Huyu kazi na mwenzake ni Bora wamestafu maana nje ya hapo wangeleta shida sana ya maamuzi kuliko hata Tatu Malogo
  14. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  15. JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana: Kwanini mtu ufurahi kujihusisha na Shetani?

    Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa rohoni: Kwa nini mtu achague jina la kumtukuza shetani, ambaye ni adui wa nafsi za wanadamu wote? Ni...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

    Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia). Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  18. JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Tambua Utapeli Mbalimbali Mtandaoni - Sitapeliki

    Karibu Wadau wa JamiiForums! Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna watakao pokea elimu hii kwa mikono miwili, lakini pia kuna wale watakao pinga kwa ubishi na ujuaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…