The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Wakuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana.
Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika...
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende...
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka.
Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA.
NO REFORMS NO ELECTION!!!
Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa.
Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
Ni lazima na ni muhimu sana wasome upepo ulivyo kwasasa.. Na kundi la kuchunga sana ni hili kundi la vijana... Lina ndoto nyingi.. Lakini pia changamoto za maisha ni nyingi na halioni mwanga mbele.
Tofauti na makundi mengine hili ni kundi ambalo halina cha kupoteza maana bado halijafikia mahali...
Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi.
Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu wa nchi, umoja wa kitaifa, kaangalie gazeti la Mwananchi leo "BAKWATA yataka haki uchaguzi mkuu"...
Wanabodi
Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach
Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake...
Kwema 'Directors'?
Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)!
Ama kwa hakika, alikuwa jogoo la shamba lililowika mjini. Alikuwa mkulima aliyevimba mbele ya watoto wa mjini na...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako.
Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
IGwe!
Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's.
Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
Habari za muda huu
Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara.
Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua,
Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani...
Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960.
Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...