sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  3. JamiiForums Tanzania Neno 'sina' ni muhimu sana

    Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi wa Daraja la Mkuyuni anashindwa kumwaga maji, vumbi linatutesa sana

    Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda. Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

    Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo. Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz. My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM. Sababu za kitoto...
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga umezidi sana mjini,

    Wana hoja
  11. JamiiForums Tanzania Una umri gani? Hili swali linakera sana

    Habari za weekend wataalamu? Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi. Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao wanaanza kumuiliza mleta mada eti una umri gani?sasa najiuliza umri wa mtu na mada aliyoleta vina...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

    Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe", Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂 acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kuamini JK anamsaada kwenye taifa hili ni kujidanganya

    Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
  15. JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinanazo Jengwa Syria,Gaza, na Israel ni nzuri sana.

    Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana. Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi. South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    1. Watu wenye tabia za uoga 2. Watu wenye fikra za kimaskini 3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi. 4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi. 5. Watu wanaoamini kuwa utajiri ni bahati. 6. Watu wasiomwamini MUNGU
  19. JamiiForums Tanzania Polepole hakanyagi tena Tanzania mpaka 2030. Nimefurahi sana kayakanyaga

    Polepole alitutukana sana Watanzania tuliokuwa tukikemea mauaji, utekaji na udikteta enzi za Magufuli. Polepole aliyekuwa mpiga domo wake maarufu wa kupangua ukweli leo yamemkuta. Kayakanyaga. Harudi tena hapa Bongo mpaka Samia amalize uongozi wake 2030. Akirudi tu kuna chumba maalumu Segerea...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo zuri sana kwa jobless

    Tiba asili ndio mkombozi wa waafrica. Allah Yesu Ni matokeo ya ujio wa wageni. Hii hapa njia ya kupata connection au ajira direct. Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie KAZI baada ya hapo unatoa kafara ya mnyama(ng'ombe) Baada ya hapo unakuwa tayari na KAZI Yako ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…