sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Juzi nilikuwa Serengeti, niliona jambo ambalo limenisikitisha sana na kunitoa machozi

    Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine. Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo...
  2. K

    Martha Karua ni nani?

    Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya. Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
  3. B

    Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
  4. K

    Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  5. B

    Tanzania kunafurahisha sana

    Habari zenu waungwana?? Kuna jambo limenifanya Leo nicheke sana.jambo lenyewe ni hili na nimeweka hapa hatua za kufuata... Azizi andambile alitolewa kwa mkopo kwenda yanga African,ambapo awali akitokeafountain gate,utata umezika kwa kipindi sasa tunaelekea mwisho mwa ligi au mwisho mwa msimu...
  6. Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
  7. Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  8. D

    Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  9. X

    Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  10. Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

    Hata ungekuwa wewe!
  11. Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  12. N

    Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  13. G55 ninalo swali muhimu sana kwenu mlijibu, nalo ni moja tu.

    Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza. Swali kwenu, nyie msiotaka...
  14. Majini walisema Uislamu ndiyo Dini ya kumwabudu Mola wao na Mlezi wao

    Ndiyo, katika Qur’an kuna ushahidi kuwa majini walivutiwa sana na Uislamu, wakasikiliza Qur’an na hata wakaamini. Hili linatajwa kwa uwazi katika Surah Al-Jinn (Surah ya 72), ambako majini wenyewe wanasimulia jinsi walivyosikia Qur'an na kuvutiwa nayo. Mistari kuhusu majini waliosikia na...
  15. Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  16. Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  17. Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

    Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine. Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala...
  18. Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

  19. Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  20. PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

    Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi. Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ya CCM ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa. Njaa haina baunsa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…