sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa livakuku wanaichukiaga sana hii picha

  3. JamiiForums Tanzania Shikamoo kwa uliyenipa huu Mseto wa Kutukuka kwani kwa Siku 3 tu Wahusika wanakiona cha Moto, ila wanasema Wanafika vizuri sana Kilimanjaro

    Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii series ya Daudi na Goliati imenibamba sana

    Nimetokea kuikubali sana hii series Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa kuona mafamiko yote ni yake na jinsi alivyo kiuka maagizo ya Mungu Nabii Samueli alietumika kumsaidia...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana, Sikutegemea kama Taifa zima lipo hivi

    Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini? Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J. Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  9. JamiiForums Tanzania Historia inaonesha watu walionyanyaswa udogoni wanakuja kuwa wakatili au wenye hasira sana ukubwani

    EITHER: Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba. OR: Au manyanyaso aliopokea yeye binafsi katika makuzi yake. kurubuniwa kingono, kuteswa na ndugu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya SM (Sir Major) wanaogopwa sana na kuheshimiwa mno Jeshini hata na Maafisa wakubwa Majeshini?

    Leo katika hii Mada kazi yangu kubwa itakuwa ni kusoma tu Comments zenu. Na nasikia pia wanasifika zaidi kwa Kuroga.
  11. JamiiForums Tanzania Ila TFF ni watu wa hovyo sana

    Tangu lini Fadlu akawa nahodha wa Simba. 😂😂
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

    Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu. Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani, yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  15. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amekuwa kwenye wakati Mgumu sana hapa Yanga. Amekuwa akidharaulika

    Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
  16. JamiiForums Tanzania Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

    Mimi 1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu. 2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Huu ubabe wa Israel kwenye kuteka anga za mataifa ya ukanda wote huo unatisha sana

    Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000 Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana sifa sana, lakini wamedhoofika vibaya mno

    Hawa watu wenye afya ni wachache Sana, wengi wamekongoroka vibaya mno! Leo kuna sehemu nimepita wanasema kuna msafara ulikua unangojewa upite, kwahyo Polisi wakawa wanaondoa bodaboda na magari yote yasipite barabarani, Yani barabara iwe nyeupe kabisa kusipite chochote eti kwakua kuna binadamu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliofunga Dm zenu ni kwamba ni mastaa sana au vipi ?

    Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
  20. JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa. Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…