Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hospitali?
NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo ulivyoingia mwaka huu ilipofika ile tarehe ndio hii hofu ikazidi kunitawala.
Naomba msaada wenu
NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo ulivyoingia mwaka huu ilipofika ile tarehe ndio hii hofu ikazidi kunitawala.
Naomba msaada wenu