sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC wanatuchelewesha sana

    Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana.. Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja. Ni chukizo hata kuwaona wakitoa kauli kama viongozi au watawala. Kwahiyio, ICC msituchelewesha...
  4. JamiiForums Tanzania Mohamed Shabalala aliona mbali sana Kukimbia Simba

    LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO KAKA DIDY NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI WAKAMKATILIA AKAONA BORA AONDOKE AWACHIE SIMBA YULE BWANA AKANZA KUELEZA UKWELI WACHEZAJI WENGINE...
  5. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Asante sana Jenerali Muhoozi Kainerugaba

    Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu. Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  7. JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  8. JamiiForums Tanzania Artificial intelligence (AI), Shetani, nyeto, na betting vinatumiwa sana kama visingizio miaka hii

    Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi. "Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha. "Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya. "Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka...
  9. JamiiForums Tanzania Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  10. JamiiForums Tanzania Programmers msimuamini sana AI

    Nimempima na kumpa code ndogo tu kama hii function separateLettersAndNumbers(str) { return str.replace(/(\D+)(\d)/g, "$1-$2").replace(/(\d)(?=\D)/g, "$1-"); } nikamuuliza output yake itakuwaje kwa 123abc alisema itakuwa 1-2-3-abc na jibu sahihi ni 123-abc aisee programmers mnaodepend hii kitu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Tujiulize sana! Sijui kama Wanaotuongoza wana Akili Timamu

    Baadhi yetu tumeona taarifa za sherehe ya mchungaji kutunukiwa u-profesa na chuo cha Amerika. Afisa mkuu wa serikali aliyehudhuria ni Profesa Kabudi. alikuwa ana-smile! Ni huyu huyu ambaye karibuni alikuwa Vatican kuomba Papa aiombee nchi. Ni huyhuyu aliyemwita JPM Mungu. Ni huyuhu aliyeleta...
  12. JamiiForums Tanzania Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji. Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba nisaidie mawazo mimi nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana

    Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

    Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  16. JamiiForums Tanzania NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  18. JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa leo linaenda kuaibishwa vibaya sana

    Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
  20. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…