sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea. --- Jaji ameshaingia Kesi inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
  4. JamiiForums Tanzania Stand up comedy: Comedian Deogratius ana kipaji hasa atafika mbali sana

    Habarini wakuu Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV. Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
  5. JamiiForums Tanzania Macho yangu yanaona kama yako? CCM mnaenda kuanguka na anguko lenu ni kubwa sana

    Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Musukuma na "Kakikundi" kao tunawatazama kwa makini sana!

    Awali ya yote niseme nimezitama clips walizoachia masaa machache yaliyopita Humphrey Polepole na huyu Ndugu yetu "Darasa la saba" Joseph Kasheku Musukuma almaarufu King Musukuma! Ukizitazama na kuzisikiliza kwa makini utagundua zote kwa pamoja zinafanana kwa maudhui japo zimetolewa na...
  7. JamiiForums Tanzania TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
  9. JamiiForums Tanzania Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  11. JamiiForums Tanzania Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Halmashauri wana nyodo sana tofauti na watumishi wa Wizara?

    Habari wadau..!! Wiki hizi mbili tatu nimekuwa busy sana na kuzunguka kwenye hizi taasisi za kiserikali. Katika mizunguko yangu nimejifunza kwamba hawa watumishi wa halmashauri ni viburi,nyodo nyingi tofauti kabisa na wale watumishi wa ofisi za wizara. Kibaya zaidi unaenda ofisi za...
  13. JamiiForums Tanzania Ray Vanny aongeze umakini la sivyo atatenda dhambi kubwa sana

    Sio kwa ubaya ni ushauri tu. Harmonize ilimshinda, Ray Vanny naye awe makini kidogo. Ni hayo tu.
  14. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kama Serikali imeamua kuminya utumiaji wa Mitandao kwa njia hii

    Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana. Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba aliishia karibu caf champions league msimu uliopita, msimu huu timu ya wananchi imefika mbali sana hadi NIGERIA!!

    Hao ndio mabingwa wa kihistoria Tz, wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko na kufika mbali sana kwenye caf champions league hadi NIGERIA!!!
  17. JamiiForums Tanzania FBI yataifisha fedha za watu kutoka banki ila waliothibitisha uhalali wake mahakama imeamuru warudishiwe haraka sana

    After the FBI seized Joseph Ruiz's life savings during a raid on a safe deposit box business in Beverly Hills, the unemployed chef went to court to retrieve his $57,000. A judge ordered the government to tell Ruiz why it was trying to confiscate the money. It came from drug trafficking, an FBI...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Ni hatari Sana KWa mwenye pumzi jitoa hufaham,kisa maisha na anasa za Dunia,Mtajuta siku

    Wakuu Mungu awe pamoja nanyi, Kwenye mada moja kwa moja Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu, tupo Kama mariboti, tumekalia majungu , ubinafsi wa familia zetu ,ndugu ,matumbo yetu badala ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

    Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba. Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…