sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Toyota vitz 2011 inakula sana mafuta

    Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
  2. JamiiForums Tanzania Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

    Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana . Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau.. Sababu ya pili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
  4. JamiiForums Tanzania Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee

    Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee. Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu...
  5. JamiiForums Tanzania Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
  6. JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  8. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

    Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani, Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula, Mara dagaa sili Ohh maji nakunywa ya dukani tu. Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe...
  9. JamiiForums Tanzania Usiku huu nimecheka sana sijui uchawi ama??

    Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu akaeema naona unarejea nkamjibu ndio He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
  10. JamiiForums Tanzania Kasi ya mabadiliko chini ya Rais Samia ni kubwa sana ipo siku tutamkumbuka!

    Anatenda kama hatendi,... Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee. Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu. Tumuombee,Tumtie...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen ni Mtu wa Ajabu Sana

    Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini Trump amejaribu kumpigia simu Ayatollah Ali Khomen, na hataki hata kumsikia Trump. Hatuna bidi...
  12. JamiiForums Tanzania Ligi yetu ni ya kawaida sana

    Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
  13. JamiiForums Tanzania Airport ya Arusha ni local sana kuliko uhalisia wa jiji lenyewe

    Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi. Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana! Mwanaume anayelilia mapenzi ni mpumbavu

    Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata...
  15. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

    These mem shaped Tanzanian music at the highest level. Hawa ndio foundation na mashina
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas huko Gaza wanapata taabu sana tuwaombee tu!!!

    Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel. Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hili jambo nimejikuta limeniuma sana

    Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao kutoka kwao kuwapa sisi wateja wao. ‎ ‎Kuna challenge wakasema Kuna maswali ya kujibu kwa usahihi watu...
  19. JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…