sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto ya leo imenifikirisha sana

    Habari wakuu, Usiku wa kuamkia leo nimeota kua napanbana na watu wenye nguvu za giza. Zamani kidogo imani nilikua nayo kiasi yani ilikua nikiota ndoto za namna hii basi huwa nawashinda vikali hao mahasimu wangu, na wala sikua naona kama kuna shida juu ya hizo ndoto. Lakini hii ya leo iko...
  2. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  3. T

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  7. JamiiForums Tanzania Rais yeyote yule ana Majukumu mazito sana wananchi tuungane kuwaombea marais wetu

    Raisi ni cheo kikubwa sana kinachotawala nchi yeyote duniani hapa Majukumu ya Raisi ni mazito sana kwasababu anatawala nchi yote kwa ujumla na kuhakikisha kila jambo linakwenda kwa usahihi kama katiba inavyo ongoza. Inapotokea Raisi ametingwa basi wananchi wakati mwingine wajaribu kuelewa...
  8. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa TMK ya Juma Nature na Chege ni Pigo kwa Muziki Industry, walinogesha sana matamasha, waliopo wanajichetua sana

    Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu. Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  11. JamiiForums Tanzania GSM atakuwa na hela nyingi sana za kufanyia mzaha

    Yes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
  12. JamiiForums Tanzania Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

    Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  16. JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana watu wanaoniona mimi ni mtu mwenye akili. Sijui wameona nini kwangu?

    Ipo hivi, kuna ofisi moja kubwa sana hapa mujini nilianza kufanya nayo kazi takribani miaka minne hivi iliyopita mpaka sasa. Wakati huo nikiwa bwana mdogo, ila sasa sijui ilikuwa kuwaje hawa wafanyakazi wenzangu kadri mda ulivozidi kwenda, walikuwa wananichukulia wa tofauti sana, mchapa kazi na...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  18. JamiiForums Tanzania Wacheza mieleka ni waigizaji wazuri sana

    Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock. Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
  19. JamiiForums Tanzania Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

    Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho? Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Tukiendelea kuwatumia wana CCM kwenye miradi watatukwamisha sana

    Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana, WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia. Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana. Yaani mimi nafikiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…