sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya magazeti yanakera sana kwa chuki zao za wazi

    .
  2. JamiiForums Tanzania Tunawapenda sana kwa sababu mnatufariji

    Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie na kuwachukulia wote mko hivyo. Tunaomba mbadilike, ila amini tunawapenda sana hasa kwa yule...
  3. JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Putin anaogopa sana Republican president ila akiwa Democratic party president Putin anavamia Georgia Chechnya, now Ukraine

    67 percent USA gall up poll Wanasema Putin anaogopa sana republican .Kwa nini Putin anajiona m babe Democratic Party wakiwa kwenye madaraka .Biden alipochaguliwa tu aka kata pipe line ya oil na kumpa deal Putin over climate change .Russia makes 1 billion dollar a day from USA.It means USA are...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

    Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi. Kutokana na Russia kuogopeka na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
  9. JamiiForums Tanzania Utoto wa miaka ya 70-80 ulikua mzuri sana, hakuna wa kumwambia soda inakufanya kuwa hyperactive.

    Kwenye birthday party unapambana na chupa ya Fanta, Sprite au Coke Cola kwa raha zako ukicheza kung fu.
  10. JamiiForums Tanzania Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  12. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

    Kila siku huwa nawaza sana hili suala! Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅 Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani. Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
  14. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana?

    Habari Wana JF Huu mjadala nimeukuta mahali, nikaona ni vyema nikauleta huku nishee mawazo yenu. Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana? Ni sahihi mwanaume kuoga mara tatu kwa siku? Kwa upande wangu mimi haya manukato yamenikaa mbali. Kila binadamu iwe ke/me ana uhuru wa...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tuna kilio kikubwa sana. Je, nani wa kutusikiliza?

  18. JamiiForums Tanzania Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  19. JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
  20. JamiiForums Tanzania Mjane ananipenda sana

    Wakuu, Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi. Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi. Mtu kama huyu namfanyanje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…