Katika diaspora wanaoongoza kuichukua serikali yao waIran wanaoishi nje ya nchi yao wanaweza kuwa wanaongoza, wengi wao wanafurahia hadi Iran inavyoharibiwa kwa mabomu!
Hakuna diaspora kabisa wa kuutetea utawala wa Ayatollah, yani wanazidiwa hata na CCM ambao angalau ina watetezi huko ughaibuni!