sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

    Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu? Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  4. JamiiForums Tanzania Tunamkosea sana Mungu kwa kucheza Amapiano na Sindimba madhabahuni

    Mmabo mengi waumini wenzangu tunayafanya kwa ama kutofikiria au kwa kuiga iga tu bila kutazama mantiki zake. Imeibuka hii tabia ya kucheza mitindo ya kwenye disco na sehemu za ufuska na maovu mengine tukiwa madhabahuni. Juzijuzi nimetoka kuona video vijana wanatwanga sijui ndiyo Amapiano ile...
  5. JamiiForums Tanzania Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

    Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi. Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022,Marium na Stella mmeipaisha Serikali ya awamu ya 6

    Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022, https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
  11. JamiiForums Tanzania Napenda sana wana Yanga SC wenye 'Msimamo' na wasio 'Wanafiki' kama huyu

    Kafunguka sana na Kaeleweka mno.
  12. JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
  13. JamiiForums Tanzania "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
  14. JamiiForums Tanzania Manara atapewa adhabu na Karia kwa lengo la kisasi lakini kuhusu kufungiwa hilo jambo ni sawa na kusubiri kuvuna mpunga kwenye upupu

    Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno. Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana

    Daaah!! Maisha yanachanganya sana. Nipo Dar takriban miez 6 sasa nililetwa na ndugu yangu toka mkoani kwa ajili ya mchongo fulani ila kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama tulivyopanga nikawa nimefeli. Ndugu yangu sio kinyonge ni mtu mwenye maisha yake safi tu sio tajiri ila ana magari kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mzungu Ni mtamu sana, asikwambie mtu. Nimebahatka kula Mjerumani

    Mliowah kula wazungu bila Shaka mtaniunga mkono katka Hil Wazungu wanajua Mambo,yaan mpaka unavutiwa na unalizka kabsa kingono Mim Nmebahatka kula mzungu bonge hiv,yaan anajua kumbembeleza we acha tu Mliowah kula wazungu ongezeen utam walionao
  17. JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
  19. JamiiForums Tanzania Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

    Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwa msemaji wa Simba chini ya CEO Barbara

    Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara. Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…