sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  2. JamiiForums Tanzania Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanatia aibu sana

    Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana inapokuja suala la wao kwenda kucheza AFCON kati kati ya msimu Limegeuzwa na kufanywa kuwa ni jambo...
  5. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha. Aliwatisha pia...
  7. JamiiForums Tanzania Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  9. JamiiForums Tanzania Halotel wekeni mtandao wenu vizuri, mtandao unasumbua sana

    Tangu Jana hali sio shwari huku mkoani,bando zipo higher na mtandao wenu wa kimagumashi mmeona zile mb 330 kwa tsh.500 tunafaidi sana? Basi tunalipa izo higher bando lakini akikisheni mtandao wenu unakuwa vizuri basi,sio ela zetu mnapenda mtandao upo slowly."Haki sawa". Mtandao...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera sana TEMESA - Kigamboni

    Ni imani yangu sote tu wazima wa afya. Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaficha umalaya wao hivi, ni rahisi kuwajua

    #Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi. #Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake...
  13. JamiiForums Tanzania Nasikitika sana

    Sijaumia kwa kipindi kirefu kuhusu mwanaume fulani tulikutana mahali fulani . Huyu mtu nilimpenda nayeye alinipenda sasa sijajua kama alinipenda kwa moyo au nimimi nilijikomba. Huyu mtu ni mtu mzima kiasi hana udogo wowote ila nilivumilia tuje tuonane face to face . Maana haikuwa chakuonana...
  14. JamiiForums Tanzania Kitabu hiki utanipatia kwa Tsh ngapi? Nimekitafuta sana.

    Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
  15. JamiiForums Tanzania Jobless tunapitia mengi sana

    Baada ya miezi 9 ya mahusiano na hustle za ujobless leo nimepigwa na kitu kizito kichwani "All I'm trying to tell u is, mimi ni mzuri, nahitaji matunzo. Hata uwe mzuri wa sura au kitandani, siwezi kutulia na mwanaume mmoja pasipo na pesa. I need to dress up. I need to go to the salon. I need to...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  17. JamiiForums Tanzania Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
  18. C

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuagiza hii gari VOLVO XC60

    Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
  19. JamiiForums Tanzania Yusufu Ally anae pigana na George Bonabucha ni bondia mzuri sana

    Kwa jiinsi Bonabucha alivyo offensive kama Yusuf Ali angekuwa bondia wa hovyo hovyo tayari ingekuwa knock out. Ame ni impress sana . Ni sugu sana and very professional. Akipata watu wa ku invest kwenye career yake ni bonge la bondia
  20. JamiiForums Tanzania Mashindano ya Jumuiya ya Madola: Alphonce Simbu ashinda medali ya fedha kwenye mbio za Marathon

    Mtanzania Simbu anaendelea kukimbiza huko Birmingham Marathon 2022, tunamtakia Kila la heri. SIO mbayaaaaa amekua wa pili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…