sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  2. H

    Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  3. Halotel wekeni mtandao wenu vizuri, mtandao unasumbua sana

    Tangu Jana hali sio shwari huku mkoani,bando zipo higher na mtandao wenu wa kimagumashi mmeona zile mb 330 kwa tsh.500 tunafaidi sana? Basi tunalipa izo higher bando lakini akikisheni mtandao wenu unakuwa vizuri basi,sio ela zetu mnapenda mtandao upo slowly."Haki sawa". Mtandao...
  4. Hongera sana TEMESA - Kigamboni

    Ni imani yangu sote tu wazima wa afya. Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...
  5. N

    Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  6. Wanawake wanaficha umalaya wao hivi, ni rahisi kuwajua

    #Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi. #Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake...
  7. Nasikitika sana

    Sijaumia kwa kipindi kirefu kuhusu mwanaume fulani tulikutana mahali fulani . Huyu mtu nilimpenda nayeye alinipenda sasa sijajua kama alinipenda kwa moyo au nimimi nilijikomba. Huyu mtu ni mtu mzima kiasi hana udogo wowote ila nilivumilia tuje tuonane face to face . Maana haikuwa chakuonana...
  8. Kitabu hiki utanipatia kwa Tsh ngapi? Nimekitafuta sana.

    Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
  9. Jobless tunapitia mengi sana

    Baada ya miezi 9 ya mahusiano na hustle za ujobless leo nimepigwa na kitu kizito kichwani "All I'm trying to tell u is, mimi ni mzuri, nahitaji matunzo. Hata uwe mzuri wa sura au kitandani, siwezi kutulia na mwanaume mmoja pasipo na pesa. I need to dress up. I need to go to the salon. I need to...
  10. U

    Maisha Magumu sana, Serikali ikataze Michango ya Harusi hasa watumishi, wanandoa wajidhamini

    Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana. Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
  11. Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
  12. C

    Natamani sana kuagiza hii gari VOLVO XC60

    Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
  13. Yusufu Ally anae pigana na George Bonabucha ni bondia mzuri sana

    Kwa jiinsi Bonabucha alivyo offensive kama Yusuf Ali angekuwa bondia wa hovyo hovyo tayari ingekuwa knock out. Ame ni impress sana . Ni sugu sana and very professional. Akipata watu wa ku invest kwenye career yake ni bonge la bondia
  14. Mashindano ya Jumuiya ya Madola: Alphonce Simbu ashinda medali ya fedha kwenye mbio za Marathon

    Mtanzania Simbu anaendelea kukimbiza huko Birmingham Marathon 2022, tunamtakia Kila la heri. SIO mbayaaaaa amekua wa pili
  15. Tozo sasa miamala ya bank, sisi tuliokimbila bank tuhamie kwenye vyungu. Hatari sana wametufuata

    Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
  16. F

    Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

    Habari wadau. Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm. Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo. Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
  17. Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

    Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua zile shida kama course work, kumiss test, kugombania venues, foleni za kusain book na ada Leo...
  18. Je, wajua tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu ni lipi?

    Wakuu, Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata! Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa , kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana na mafao makubwa Sana yawepo kwenye siasa kuliko kada nyingine zenye mashiko na maendeleo kwa wote...
  19. Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  20. J

    Kama taifa tumetoka mbali sana

    Ifikie hatua watu waache kujitoa ufahamu. Njaa tuiachie tumbo na si akili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…