sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

    Kwema Wakuu! Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana! Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
  2. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  3. Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  4. Hii serikali haina pa kupeleka vishkwambi wanawatupia Walimu

    Habari! Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona. Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi? Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
  5. Video: huyu kiumbe amenifikirisha sana

    Je kuna kitu tume fichwa? Kiumbe huyu amenifanya nifikiri kwamba maandiko yanayo sema binadamu ali umbwa kwa sura na mfano wa Mungu yali potoshwa kwa sababu maalumu naukweli ni kwamba " binadamu ali " undwa" sio " umbwa " kwa taswira na mfano wa sokwe mtu" USHAHIDI WA HOJA HII: Ukiweka...
  6. Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  7. Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  8. RAIS WA EU: Ulaya itashuhudia kipindi kigumu sana hivi karibuni

    Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo...
  9. Mahakama mnapaswa kujitathmini sana

    Leo imetoka taarifa juu ya Mahakama Kuu kubatilisha hukumu iliyotolewa dhidi ya mtu aliyekutwa na hatia ya kufanya vitendo vya uchawi dhidi ya mtoto wa ndugu yake huko Njombe! Hukumu hii ilitolewa kipindi ambacho vitendo vya uchawi na ushirikina vikiwa vimeshika hatamu kwa kiwango cha...
  10. Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  11. K

    Utamaduni wa Rushwa Polisi ni mkubwa sana

    Nashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
  12. Watanzania tubadilike, Kiswahili chetu ni kibovu sana

    Kiingereza hatujui na lugha yetu adimu na adhimu kila siku tunaiharibu kwa kuingiza maneno ya kihuni. Tunakosa nafasi za kufundisha nje ya nchi pamoja na kazi za kutafsiri. Tutumie lugha moja ili tupate nafasi za kufundisha Uganda, Rwanda, South Africa na kwingineko! Uganda, Rwanda na South...
  13. Kweli mdomo uliponza kichwa, "Anaepinga ahamie Burundi" hii kauli najua anaijutia sana sana kuiropoka

    Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa. Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka...
  14. Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

    Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza.... Hiki kifaa hatari cha kukanganya au kuzuia miale au signal jamming kimeachwa Ukraine wajichukulie tu.. Ukrainian...
  15. N

    Makamba, Mwigulu au Nape watakuja kuwa ma Rais wazuri sana!

    Changamoto kubwa, nionavyo mimi, ya nafasi ya uraisi ni kusita kufanya maamuzi kutokana na labda kuogopa lawama na kelele kutoka kwa wananchi na wadau wengine. Makamba, Mwigulu na Nape; Hawa matusi yameshamalizika ya kuwatukana kabla ya kufanya lolote, sijui kama kuna tusi la kuwatukana...
  16. D

    Shukrani zangu za dhati kwa Wana JamiiForums, nimepona

    Habari zenu wanajamii Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi Nilitumia dawa mbalimbali ila si zote ila kupitia forum hii nilipata dawa humu humu na asubuhi yake nikaenda kununua...
  17. Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

    Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi. Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
  18. Ukimsifia sana unakaribia kumkosa!

    Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!. Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za...
  19. D

    SoC02 Ni muhimu sana kupenda(like), kutoa maoni(comment), kufuata(follow/subscribe) na kusambaza(share) chapisho linalokugusa kwenye mitandao ya kijamii

    Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili. Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
  20. Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    -Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa. - Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu. - Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…