sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  2. Mkuu wa CDC Afrika abaguliwa na wazungu pamoja na kujifanya anawapenda sana

    Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
  3. Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  4. Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

    Pascal Mayalla ... hii uliwahi kukutana nayo kweli ?
  5. Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
  6. Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  7. N

    Kuhudumia mwanamke ni raha sana

    Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over". Siyo mpo kwenye date kila mara unaweka mikono mfukoni, mara kabla ya kuagiza unaanza kuuliza bei, nini sasa...
  8. E

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

    Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5 Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650 Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.
  9. Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  10. Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  11. Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  12. Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  13. Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

    Ndugu zangu mimi kuna jambo huwa silielewi kabisa kuhusu wanawake/ mwanamke: "ukiwakataa huwa wanakuwa na chuki kali sana dhidi yako haijalishi mpo katika mazingira (hata kazini/biashara) gani." Kwanini hawa wenzetu huwa suala la kukataliwa wanalibeba kwa uzito sana. Mbona wao wanatukataa kila...
  14. Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

    Huyu msanii wetu amepost kwenye facebook story, video za ajabu sana. Lengo lake nini? Anajiuza? Au ametumwa kutumahasisha tufanye visivyo sawa?
  15. Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

    Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
  16. J

    Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  17. Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  18. Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika. Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu...
  19. Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  20. N

    Jambo hili ndio linatuumiza sana sisi madomo zege

    Hakuna kitu kinaleta msongo wa mawazo kwa sisi madomo zege kama kuona washikaji wanavyoraluwa pisi kali for free. Yaani unaona pisi inastahili kuhandle with care ila wahuni wanaitreat kama gari bovu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…