sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. My first date in Dubai, soma hapa inasikitisha sana

    Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
  2. Nachukizwa sana na siasa kwenye mpira Yanga na Simba

    Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki? Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
  3. Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
  4. Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

    Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali. Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
  5. Hakuna mwanamke mbaya, mpende sana huyo mwanamke uliyenaye

    Wapendwa hamna mwanamke mbaya duniani, mwanamke yeyote ni matunzo tu na namna unaamua kumuweka. Tuacheni ubahili kwa hivi viumbe vinahitaji maisha ya anasa ili uzuri wao ujidhihirishe kweupe. Kama unatamani mdada mwenye tako nakuhakikishia huyo mwanamke wako ana tako hilo, fungua tu password...
  6. Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  7. Mpira unaumiza, ni mchezo katili sana

    "Mpira unauma, mpira unaumiza, mpira unaumizaa..." Kweli mpira wa miguu ni mchezo katili sana.
  8. Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili. Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
  9. L

    Kuna uhitaji mkubwa wa elimu ya uandaaji wa mbolea ya asili

    Habari za wakati huu watanzania wenzangu. Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta kuhitaji kujua zaidi na mrejesho ninaoupata kwa walioanza kutumia hakika ninapata faraja kubwa...
  10. Kuangalia CCM wanacharurana wenyewe kwa wenyewe, inapendeza sana

    Inapendeza sana kuona wenyewe kwa wenyewe wanaumbuana hadharani na kutaka kuungwa mkono na CHADEMA kila upande kwa kwa wakati wake, inafurahisha sana!
  11. Miafrika ndivyo tulivyo. Inashangaza sana akili hii ya Serikali

    Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao? Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
  12. N

    Hawa wakubwa wanachanganya sana; wamekutana Ujerumani jana kuzungumzia kuijenga upya Ukraine. US$200 bl yapendekezwa!

    Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani? Au ndo kweli kama wanavyosema wengine kuwa walikuwa kwenye majaribio yao ya silaha na sasa wameshapata...
  13. Rais wetu wa Yanga ni mtu wa mpira kitambo sana

  14. Idadi ya mbwa mtu imeongezeka sana nchini, nini kifanyike?

    Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa? Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
  15. Tuendelee na Mambo ya Msingi Elimu inachezewa sana

    Kuhusu Ya endeleaayo kwenye kuiba mitihani na kubadili namba za watahiniwa Baada ya shule husika kufungiwa kuwa kituo cha Mitihani ya Baraza, Nini Hatma ya Wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo? Je, kuifungia shule husika ndiyo suluhisho la udanganyifu wa mitihani ya elimu nchini?, Je, Bila...
  16. CCM kama mnaipenda sana CHADEMA jiungeni

    Kila mara CHADEMA! CHADEMA! CHADEMA! Mara CHADEMA hivi mara CHADEMA vile. Siku mkisikia mtu wa CHADEMA ameongea tu na kiongozi wa CCM basi Lumumba kunapikwa pilau na biriani. CHADEMA wakipita tu mitaani mnaagiza wakamatwe. Yaani ni kama vile CHADEMA ndiyo chama tawala na CCM ndiyo chama...
  17. Nachukia sana wauza chakula wanaoleta utaalamu wa afya kwenye menu yangu

    Oya! Mimi nakuja kupiga menu, sio kufuata ushauri wako wa lishe au afya na kutishana kibwege. Kama ni chai au maziwa acha niweke sukari ninavyojisikia. Sio malalamiko kama nakula bure. I hate hii kitu kabisa kabisa. Kama nikitaka ushauri wa Afya au lishe nitaenda kwa wataalamu sio nakula...
  18. M

    Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

    Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa. Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...
  19. Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  20. C

    Nakukumbuka, asante sana

    Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu. Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…