sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  2. JamiiForums Tanzania Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

    Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua makombe ya UEFA back to back kwasababu tu ya uwepo wa CR7 akiwa kwenye peak yake na aina wachezaji...
  3. JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO HUU UNACHOCHEA MAENDELEO KWA HARAKA SANA VIJIJINI

    hamasa na shauku walionayo wananchi hususani vijijijni, ya kuanza kutekeleza miradi ya maendeleo kulingana na vipaumbele vya mahitaji yao, inakwenda kutrasform maisha yao kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa haraka sana... serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika maeneo husika, wamehamasika...
  4. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Lissu yupo sahihi sana kuhusu rushwa, huenda inatembea ndani ya chama

    Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo. Hili andiko fupi sana wakuu. Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza kumbe mh lissu alimanisha kama ambavyo amekua akitoa hoja na watu zichukulia poa. Kuna uchaguzi wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana nimegundua haya kuhusu ulokole

    Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la? Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki. Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu inafurahisha sana!

    Wakuu Heshima mbele. Binafsi kuna kitu kinanishangaza sana. Tanzania ni nchi ambayo raia wanaongoza kwa malalamiko dhidi ya serikali. Si serikali ya raisi yoyote ile iliyowahi kuwepo madarakani watanzania wasilalamike. Lakini ukifika kwenye uzi kama wa battle Dar es salaam Vs Nairobi ni watu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
  9. JamiiForums Tanzania 'Nahitaji sana pesa' kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima

    Kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima. Kauli hii hutamkwa hata na wale wenye nazo za kukidhi ila hazijawakinaisha. Nikisema nazihitaji, mtauliza tofauti yangu na wao ni ipi ama ni nini? Nahitaji pesa ili niikomboe kesho inayonitafuna sana moyoni. Ningepewa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama zingalikuwa huru sana, kila mmoja angalifurahia

    Enyi mlioamini! Kuweni watu wenye kusimamisha haki, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni juu yenu wenyewe, au wazazi wenu au jamaa zenu karibu. Kama mtu ni tajiri au masikini, Mwenyezi Mungu ni bora kwao wote. Basi msiwafuate matamanio, ili msiwe wakosefu." (Qur'an, Surat An-Nisa...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa wanaJF wanachekesha sana kwenye post zao

    Hawa wanaJF wana vipaji sana vya kuchekesha. Faana Moisemusajiografii na reyzzap . Hawa jamaa nimefuatilia posts zao wako vizuri sana kwenye comedy. Wanaweza kuwa standup comedians wazuri sana.
  12. JamiiForums Tanzania Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Nawakumbuka Sana

    NAWAKUMBUKA SANA Kwenye picha hapo chini wa kwanza kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mwandishi na Farouk Abdullah. Muscat mwaka wa 1999. Nimeweka kitabu cha kumbukumbu ya maisha ya Sheikh Ali Muhsin nakala ya Kiingereza na Kiswahili, Tafsir yake ya Qur’an Tukufu na Tafsir ya...
  14. JamiiForums Tanzania Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  15. JamiiForums Tanzania Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  16. JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

    Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu. 1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere 2. T.I.D 3. RC Chalamila 4. RC mstaafu Aggrey Mwanri 5. Ommy Dimpoz 6. Mheshimiwa Kishimba 7. Babalevo 8. Mheshimiwa Kibajaji...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Starehe mbaya sana...

    Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…