sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

    Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu! Nchi hizi zinatusaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete ni maarafu sana nje ya nchi hasa kwa Wazungu?

    Hakuwa reformist(mwanamageuzi) katika nchi, Sio intellectual au mwanafalsafa kama Nyerere na Kingereza chake ni cha kawaida tu ila wakati wote amekuwa kipenzi cha viongozi wa siasa magharibi, wafadhili matajiri, mashirika na taasisi zao mbalimbali katika shuguli zao nyingi hususani za Africa...
  3. JamiiForums Tanzania Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

    Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu...
  4. JamiiForums Tanzania Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

    Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo. Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo

    WATU WANAOJIFARIJI SANA WANA HATARI YA KUBAKI WALIPO MAISHA YOTE. #Wale ambao kila kitu ni mpango wa Mungu hata kama ni uzembeo wao. #Wale ambao wanajipa matumaini ya kufanikiwa ilihali hawana juhudi zozote #Wale ambao wanajidanganya uongo wenye matumaini na kukwepa ukweli wenye uhalisia #...
  8. JamiiForums Tanzania Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

    Rais alihutubia Taifa Jana.. Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania. Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wangu kipenzi Samia kwaheri umeniumiza sana

    Rais Samia amini kwa dhati nilikupenda na niliamini kweli umekuja kutufuta machozi baada ya miaka 6 ya hofu na mateso mengi. Ulianza vizuri kufanya upatanisho baada ya mtangulizi wako kuichafua historia nzuri ya taifa letu ukazidi kutufurahisha wapenzi wako baada ya kuja na 4R tukaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia huwa anakuwa mkali sana akiona nafasi yake ya Urais inataka kuchukuliwa, kwenye mengine Anhaaaa!!

    Za Asubuhi. Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema. Sasa hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa za habari kutoka kwenye media zetu zinaboa sana

    Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala 6. Upungufu wadawa 7. Ugomvi wa wakulima na wafugaji 8. Ufisadi. 9. Ubakaji 10 Njaa n.k 11...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwamaliza kinyama sana wanaume wanaojifanya wanawajua wanawake

    Familia zenu zipo salama? Toka zamani till now, wale wanaume wanaojifanya ni 'maromantiki' mno na kujifanya wanatufundisha sisi wanaume wengine jinsi ya ku care wanawake, huadhibiwa kikatili sana na wanawake. Mwisho huishia kwenye fedheha na aibu. Huwezi kutafuta cheap popolarity kwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wewe dada na kaka Mungu awabariki sana

    Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri ) Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni Alinifuata PM akanambia kama...
  15. JamiiForums Tanzania Ubaya utakupa faida gani?

    Niwasalimu ndugu zangu hapa!! Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo. DHANA YA MATESO: Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea...
  16. JamiiForums Tanzania Inakera sana pale unapopanga kukutana na demu wako kwa ajili ya kuburudika lakini mwenzio anakuja na kijiji

    Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya naongea na simu napita mlango wa nyuma na simu nazima, Badilikeni.
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe amekuwa kimya sana tangu siku ile.Jee ni mzima au amekubali

    Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
  18. JamiiForums Tanzania Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

    Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa Tykutanee Amaan stadium
  19. JamiiForums Tanzania ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  20. JamiiForums Tanzania Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

    Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…