sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kukamatwa viongozi WACHADEMA kwa kutaka kuandamana kwa amani kimeleta taswira ambayo si nzuri serikali ya Awamu ya Sita

    Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya Muungano haimkatazi. Mheshimiwa Mbowe amekamatwa pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwepo mkamu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwaini mashabiki wengi wanaichukia sana Arsenal?

    Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2. Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

    Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi. Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote. Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kunaonekana huko juu kuna fitna na kujipendekeza sana

    Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..? yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi hiki kwa chama ambacho wala hakuna mweye mpango nacho kama hao watu wanaotekwa au kuchukuliwa na watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeshapata ushindi mkubwa sana. Ikifika saa 2:55, ahirisheni maandamano

    Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza. Hii inaweza kuwa shida gani?
  9. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa; nimelipa Tsh 12,000 kwa vyeti viwili lakini majibu sijapata

    Ndugu zangu, Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo nakumbuka miaka mitatu nyuma tulihakiki vyeti kwa Tsh 2000. Leo imefika 6000 lakini huduma zimekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kujitoa katika makucha ya Wazungu. Wapo everywhere

    Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana. Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu. Nimechoka kabisa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  13. JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  14. JamiiForums Tanzania Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Ndugu zangu Watanzania,
  18. JamiiForums Tanzania Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

    Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
  19. JamiiForums Tanzania Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…