sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hizi ajali mbili za malori zilinifurahisha sana nilitamani zijirudie

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rehabilitation centre (rehab) inayopatikana Boma Ng'ombe Karibu na KIA, Kilimanjaro

    Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro. Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  4. excel

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana hili jambo kwenye Daladala

    Salaam wanajukwaa Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji ) Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kitengo / role gani ambayo kazini/ofisini kwenu mnahangaika sana au mlihangaika kumpata mtu wa kuijaza ambaye ana weledi wa kutenda kazi???

    Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala kimechoka sana

    Huu ni zaidi ya utoto na upuuzi wa viwango vyake. Hali ikifika hapa tambua kwenye hoja wameshapigwa dafrau la chembe sasa wanachechemea
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

    Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si...
  9. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

    Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone. Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika. Huwezi kukuta mtu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama ana heshima na unyenyekevu sana. Embu angalia hapa ujue kwanini anapendwa na kila Rais anayeingia Madarakani

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama. Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
  11. Brojust

    JamiiForums Tanzania Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

    WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Haloteli wezi sana wa bando

    Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu. Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Simba haidi tena nguruwe octb 19 kila goli umekuwa kimya sana na simba yetu

    Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

    Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu ! 2040 sio mbali sana, Hii ndio miaka utayokuwa nayo ukiwa bado hai, Usijisahau sana

    Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k. Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70 Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69 Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68 Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kukamatwa viongozi WACHADEMA kwa kutaka kuandamana kwa amani kimeleta taswira ambayo si nzuri serikali ya Awamu ya Sita

    Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya Muungano haimkatazi. Mheshimiwa Mbowe amekamatwa pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwepo mkamu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kwaini mashabiki wengi wanaichukia sana Arsenal?

    Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2. Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama...
Back
Top Bottom