sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania The Hague(ICC) inawahusu sana watu hawa.

    Kumekuwa na matukio ya Utekaji, utesaji na mauaji katika Nchi hii, na hakuna hatua zinazochukuliwa kukomesha matukio haya. Mimi nadhani kwa kuanzia tuwapeleke ICC baadhi ya wenye dhamana ya kuhakikisha usalama wa wananchi hapa Nchini na wameshindwa kufanya hivyo. Tukiwapeleka ICC angalau hata...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

    Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache Hawa viumbe wana sifa za kuu mbili.. Sifa za ndani na sifa za nje Sifa za ndani Wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtukuza na kumnyenyekea sana uwe na uhakika atakunyea kichwani! Inabidi tukae nao kijasusi!

    Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti unampenda saana na kumzimia saana lazima akunyee kichwani. Familia nyingi zimeanguka sababu kubwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  7. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Smart watch na Earpods zake Mpya kwa bei nafuu sana

    Jipatie Smart watch Original leo 1. Smart watch na earpods - unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th 2. Smart watch mbili na mikanda yake mitano yenye rangi tofauti tofauti kwa 65,000 tsh tu 3. Smart watch na headphone hii na mikanda...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  9. JamiiForums Tanzania Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  10. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

    Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani uliwahi kuambiwa ukifanya utapiga pesa sana ila baada ya kuingia mchezoni ulibaki unajuta?

    Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi. Kudownload na kuinstall pesa. Bajaji Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
  13. JamiiForums Tanzania Nakutabiria week ijayo utapata hela ila kuwa makini sana

    kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

    Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake. Kwa upande...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana Bi Aisha mkewe Mtume Mohamed

    Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana bi Aisha mkewe Mtume Mohamed Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali pitia maelezo zaidi hapo chini kutoka Wikipedia The Shi'a view of Aisha is generally unfavourable. This is primarily due to what they see as her contempt for the Ahl...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

    Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo.... Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu. Naona kama haitofaa kufungua uzi kwa kila swali kwasababu ni mawazo ya haraka haraka tu, sidhani kama yana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Flaviana Matata aonyesha ufundi wa kupika

    Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa 1990's, tulifurahia sana televisheni enzi za Analogy

    Pamoja na changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo katika harakati za safari ya maisha, lakini ndiyo Raha ya safari. Maisha yangekuwa yamenyooka tu bila changamoto za hapa na pale, sidhani kama tungefurahia maisha. Changamoto ndio Raha ya safari ya maisha na ndio zinafanya Dunia unakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…