sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuwapende sana Mama zetu ila tuwe makini wanapotushauri. Tuchuje kwanza

    Wakuu leo nimeamka na kujikuta nikitafakari sana kuhusu mambo ya kifamilia hass yanahusu Baba na Mama. Nikiwaweka kwenye mizani ni kuwa Mama anapewa uzito mkubwa kuliko Baba. Kila upande wa hii dunia jina la Mama linatajwa mno. Ni sahihi kabisa. Kina Mama wana uzito mkubwa kwenye maisha yetu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  3. JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  4. JamiiForums Tanzania Azam ya Rachid Taoussi inaweza wa-surprise sana Watanzania

    Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA na CHASAMBI 😎 Ila Azam ukiwaangalia wanakimbiza mwizi kimya kimya tu Hapo bin Zayed hajacheza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa BMN wa Mshiko Faster, unaweza kukufanya ukadhalilika vibaya sana

    Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile kiwango ulichopewa mara ya kwanza, ndio utapewa tena baada ya kulipa deni na kuomba mkopo mwungine hata...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri CAF walifute sasa kombe la shirikisho, linaleta hasara kubwa sana.

    I salute you kinsmen.. Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku . Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️ Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️ Baada ya hapo tunaona sasa team legevu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Inaogofya sana kuona hakuna mtu wala taasisi inayokemea dhulma katika uchaguzi

    Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki. Ukimya na kutochukua hatua kwa:- 1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa. 2. Ubakwaji wa demokrasia wa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

    I salute you kinsmen Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja. Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi mtandao wa telegram bado umefungiwa Tanzania au vipi? Maana muda sana siupati! Kulikoni?

    Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumkosoa sana ni dalili kuwa huyo sio wako bali unamlazimisha afanane na umtakaye

    KUMKOSOA SANA NI DALILI KUWA HUYO SIO WAKO BALI UNAMLAZIMISHA AFANANE NA UMTAKAYE. Karibu kila mtu ana taswira ya nani anamtafuta kama mwenzi/rafiki hivyo siku ukikutana naye utamtambua kuwa ndiye kutokana na kuendana na sifa utakazo. Kosa kubwa tufanyalo ni kumlazimisha ambaye siye ili awe...
  13. F

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Leo nimechukia sana nilipokuwa napiga kura kijijini kwangu Moshi, eti hakuna mpinzani hata mmoja anagombea na nimefanya kweli kwenye sanduku la kura

    Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia. Kilichoniudhi ni kukuta hakuna mpinzani hata mmoja anagombea, wote ni CCM tupu! Halafu nikakuta ule mtindo wa enzi za...
  14. JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma. Faustine kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe. Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa. Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini? Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kuweni Makini sana tunaishi na kiumbe kinaona zaidi yetu

    Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie. Mwanaume ukikataa uwepo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilisha sana

    Nilikuwa sijui kuoga wala kuvaa, ila amenipenda hivyo hivyo na sasa najua kuoga na kuvaa. Nilikuwa na lala njaa, ila akanipenda hivyo hivyo na kunipatia chakula, sasa tunashiba. Wengine walimuuliza unampendea nini huyu fukara ambaye hawezi hata kuhonga mia mbili? yeye aliwajibu, ni mapenzi tu...
  19. JamiiForums Tanzania Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  20. JamiiForums Tanzania Je, simu yako inapata sana joto?

    Simu yako inapata Sana Joto !!! Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀. Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…