sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  2. Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

    Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥 ⚡️Wreckage of an Israeli Humvee military vehicle after it was hit by Iranian-made Almas-3 special guided missile launched...
  3. INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  4. C

    KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

    Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
  5. S

    Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

    Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani, Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile"
  6. K

    Tanzania tungekuwa mbali sana, Kikwazo ni CCM

    Ni wazi sasa Tanzania ingekuwa mbali sana kama tungekuwa na vyama pinzani ambavyo ni 50/50 kuliko sasa nchi yetu iko chini ya udikteta wa walarushwa nawabinafsi wa CCM. Tungekuwa mbele kwenye haya 1. Tungekuwa na katiba mpya ambayo inajali maendelo 2. Tungekuwa na mifumo isiyotegemea rushwa...
  7. Napata shida sana na watu wanaoweka Dissapearing Message kwenye whatsapp zao

    Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya, Kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi Ongeza nyingine...
  8. Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  9. To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

    ........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
  10. X

    Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  11. KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  12. Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  13. Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  14. Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  15. W

    Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50. Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri...
  16. C

    Uwezo wa Israel unakuzwa sana

    Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu. Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo...
  17. A

    Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  18. L

    Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

    Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo Kama lawama basi apewe Kijiri...
  19. Camara ni Golikipa mzuri tena sana ila Kujiamini kwake kunatuponza

    Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao. Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann...
  20. Siku hiyo alikuwa romantic sana, kumbe njaa ilimzidi

    Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni kukupa dudu. Tofauti na mwanaume mwenye ziada nyingi za kuonyesha kukupenda. Sasa kwa mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…