sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

    Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
  3. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  4. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  5. JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Napenda sana Live Band

    Kuna maeneo Kilimanjaro kuna Live Band nzuri. Kwa wasiopenda kukaa na Stress nendeni kufurahia maisha. Wewe unapenda kwenda maeneo yapi kuenjoy?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  8. JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji juzi maneno yake yamenigusa sana

    Juzi nilifungua simu yangu ya smart nikakutana na clip ya mchungaji flani sikuweza kujua ni wa kanisa gani ila maneno yake ni ya kweli kwa utafiti wangu hebu tuone alisemaje Ukiona mtu amekukosea au anakukosea au anakufanyia mabaya mara kwa mara na hataki kukuomba radhi au kujirudi huna haja ya...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  10. JamiiForums Tanzania Tumechelewa ila hatujachelewa sana kama Nchi

    Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi flani aliyekuja kwenye kikao Moshi ila mwisho wa siku komputa mpakato yake (laptop) ikaishiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  13. JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  14. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wana akili ndogo sana kifo cha Gadner Habashi kilisababishwa na uzembe wa Watanzania .

    Juzi kuna msanii amechoma Gari . Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia . Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu . Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa hiki kina funzo kubwa sana hasa jinsi waafrika tunavyowaza

    Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli? Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu hawasaidie sana watoto wa kiume tamaa inawamaliza

    Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu. Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  20. JamiiForums Tanzania FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…